Tuzo za kilimanjaro 2013

Tuzo za kilimanjaro 2013

ACCOUNT FULL

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
1,984
Reaction score
360
show imeanza, kikundi bora cha taarabu ni JAHAZI
mtunzi bora wa taarabu ni THABHIT ABDUL
mtayarishaji bora wa mwaka taarabu ni
HENRICO,
msanii bora wa kike ni
ISHA MASHAUZI
msanii bora wa kiume ni
MZEE YUSUPH, sasa hv inaendelea show.....
 
Wakuu hivi hii assessment ya kuwapata hao wasanii bora hua inafanyika wapi, lini na nani?
 
Wakuu hivi hii assessment ya kuwapata hao wasanii bora hua inafanyika wapi, lini na nani?

walitoa orodha ya wasanii wote na category zao ili wananchi wapige kura,kura zilkuwa zina asilimia yake bt kulikuwa na kamati maalumu ambao walikuwa na maamuzi ya mwisho
 
walitoa orodha ya wasanii wote na category zao ili wananchi wapige kura,kura zilkuwa zina asilimia yake bt kulikuwa na kamati maalumu ambao walikuwa na maamuzi ya mwisho

Asante kwa maelezo, nimepata mwanga sasa.
 
Back
Top Bottom