Headcorner
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 205
- 292
Shirikisho la soka nchini TFF limetangaza kuwa tuzo za TFF zitakuwa zinatolewa kwenye ngao ya janii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani wameshindwa kuamsha ubongo vizuri kwakuwa wachezaji wataondoka kwenda nje ama makwao wanapoteza maana halisi ya mchezaji bora .Swali fikirishi je TFF wanajua lengo la zawadi ya mchezaji bora wa mwezi ama msimu?Tuzo za Ligi kuu
TFF wametoa taarifa kwamba tuzo za Ligi kuu za msimu huu zitatolewa kwenye mchezo wa ngap ya jamii wa msimu ujao
Ninachokifiria mm ni itakuaje Kwa baadhi ya wachezaji wanapaswa kupokea tuzo hizo na wakawa hawapo Tena katika Ligi yetu?
Kwann tusijufunze Kwa Uingereza ambao wanatoa tuzo karibu zote siku chache kabla/baada ya mechi za mwisho? Kwan sisi inashindikana Nini?
Au ndo mpaka kamati ikae iamue ku-normalize tuzo 🙂😂
View attachment 3002656
Wajinga kweli TFF, hivi huwa wanaofikiria nini vilaza.Tuzo za Ligi kuu
TFF wametoa taarifa kwamba tuzo za Ligi kuu za msimu huu zitatolewa kwenye mchezo wa ngap ya jamii wa msimu ujao
Ninachokifiria mm ni itakuaje Kwa baadhi ya wachezaji wanapaswa kupokea tuzo hizo na wakawa hawapo Tena katika Ligi yetu?
Kwann tusijufunze Kwa Uingereza ambao wanatoa tuzo karibu zote siku chache kabla/baada ya mechi za mwisho? Kwan sisi inashindikana Nini?
Au ndo mpaka kamati ikae iamue ku-normalize tuzo 🙂😂
View attachment 3002656
Hili linashangaza sana na ni uhuni wa makusudi kabisaa, maana TFF wameamua kuvunja hata kanuni yao wenyewe kwa sababu Kanuni ya 11 inayozungumzia Vikombe na Tuzo, kifungu cha (11) kinasema; Sherehe za tuzo zitafanyika ndani ya muda usiozidi siku tatu (3) baada ya kumalizika kwa mchezo wa mwisho wa Kombe la Shirikisho. Maana yake mara tu baada ya mechi ya fainali ya FA Zanzibar, zilitakiwa zisizidi siku tatu sherehe za tuzo zifanyike, sasa hawa jamaa wameamua tu kuivunja ili kuvuruga mambo kwa kuwa kuna wachezaji watakuwa wamepewa Thank you, wengine hawatakuwepo kabisa hapa nchini na wengine mfano wanaweza kutajwa fulani ni kipa bora kutoka Coastal Union kumbe wakati huo labda atakuwa amehamia Simba. Haipendezi, haipendezi kabisaaa.
Wahuni walebodi ya ligi. tunasema kila siku ni vichaa. wajinga wapo pale
Umesoma walichokiandika.?Hili linashangaza sana na ni uhuni wa makusudi kabisaa, maana TFF wameamua kuvunja hata kanuni yao wenyewe kwa sababu Kanuni ya 11 inayozungumzia Vikombe na Tuzo, kifungu cha (11) kinasema; Sherehe za tuzo zitafanyika ndani ya muda usiozidi siku tatu (3) baada ya kumalizika kwa mchezo wa mwisho wa Kombe la Shirikisho. Maana yake mara tu baada ya mechi ya fainali ya FA Zanzibar, zilitakiwa zisizidi siku tatu sherehe za tuzo zifanyike, sasa hawa jamaa wameamua tu kuivunja ili kuvuruga mambo kwa kuwa kuna wachezaji watakuwa wamepewa Thank you, wengine hawatakuwepo kabisa hapa nchini na wengine mfano wanaweza kutajwa fulani ni kipa bora kutoka Coastal Union kumbe wakati huo labda atakuwa amehamia Simba. Haipendezi, haipendezi kabisaaa.
Nimesoma na nimeelewa vizuri sana ndiyo maana naona maajabu kwa kuwa hata kama walitaka kubadilisha wangebadilisha kanuni kabla hata ligi haijaanza ili watu waelewe wao wamesubiri hadi ligi iishe ndio wabadilishe ghafla. Shaka yangu kuna siku zitafanyika tuzo huku wahusika wengi wakiwa hawapo kupokea, hivyo sherehe haitanoga.Umesoma walichokiandika.?
Sasa mbona wanavunja Sheria walizo jiwekea wenyewe? Sasa ikitokea mchezaji anaepaswa kushinda tuzo ameuzwa kwenda ligi ya nchi nyingine na kipindi hicho akawa kwenye mashindano itakuaje? Watasema atakuepo muwakilishi wake lakini inaondoa msisimko wa tuzo kabisa