Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Sasa ndio mana wakasema kuanzia sasa watatoa tuzo kwenye mchezo wa ngao ya jamii wakimaanisha hiyo kanuni wanaijua na wameivunja rasmi.Nimesoma na nimeelewa vizuri sana ndiyo maana naona maajabu kwa kuwa hata kama walitaka kubadilisha wangebadilisha kanuni kabla hata ligi haijaanza ili watu waelewe wao wamesubiri hadi ligi iishe ndio wabadilishe ghafla. Shaka yangu kuna siku zitafanyika tuzo huku wahusika wengi wakiwa hawapo kupokea, hivyo sherehe haitanoga.