Tuzo za ligi kuu kutolewa siku ya ngao ya jamii

Sasa ndio mana wakasema kuanzia sasa watatoa tuzo kwenye mchezo wa ngao ya jamii wakimaanisha hiyo kanuni wanaijua na wameivunja rasmi.
 
TFF ni kikundi cha watu wasio na uelewa hata chembe wa mambo ya soka la kisasa, 90% ni makolo wote.
 
Sasa ndio mana wakasema kuanzia sasa watatoa tuzo kwenye mchezo wa ngao ya jamii wakimaanisha hiyo kanuni wanaijua na wameivunja rasmi.
Wameharibu kabisaa maana mtu anapofanya kazi mwishoni mwa hiyo kazi avatarajia kupewa pongezi au zawadi ili kupeleka kwa familia yake, sio pongezi au hiyo zawadi aje apewe mwanzoni mwa kazi nyingine, haileti msisimko
 
Mpira wa bongo unaendeshwa na watu wa aina gani? mbona vitu vingine ni aibu hata kuvisema mbale ya watu wenye akili timamu?
 
msimu miezi kumi amna zawadi, walikuwa wanafanya nini?? hiki kitu si well known.

matapeli, wezi na wajinga , kalia akiwa mkubwa wao.
Nilikuwa nachokoza mada tu nikweli ni wazembe, wajinga na wabinafsi na hili linasababishwa na jamii kuto kuhoji kwa sauti kubwa, mjinga ni mtu ambaye hataki kujifunza, wabinafsi kwasababu jawataki kufuata kanuni na uzembe ni kutochikua tahadhali, (taking things for granted)
 
Nilikuwa nachokoza mada tu nikweli ni wazembe, wajinga na wabinafsi na hili linasababishwa na jamii kuto kuhoji kwa sauti kubwa, mjinga ni mtu ambaye hataki kujifunza, wabinafsi kwasababu jawataki kufuata kanuni
kama mwenyekiti wa bodi ya ligi anawaza uhawi hana hata viwanjwa una hisi akili zimo.
 
Nini kifanyanyike
Kuna mambo yanafanyija katika mpira utayapata Tanzania tu.
Hii inaonyesha viongozi wa Tff wanaona huu mpira wa miguu ni kama kitu chao binafsi hakihusiani na wadau wengine wa soka.
Ni kiburi kikavu
 
Kuna mambo yanafanyija katika mpira utayapata Tanzania tu.
Hii inaonyesha viongozi wa Tff wanaona huu mpira wa miguu ni kama kitu chao binafsi hakihusiani na wadau wengine wa soka.
Ni kiburi kikavu
Hawa wanahamu ya mboko tu wanajitoa ufahamu kwahiyo dawa ya watu wanao ahirisha kufikiri ni hiyo tu na hili tatizo liko Tanzania ama Africa la watu waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwasababu ya kujipendekeza, masilahi binafsi na uoga wa viongozi wao,(human herding)
 

Watamchagua mfungaji bora aliyebaki. Hawa jamaa wanaharibu mpira kwa makusudi kumridhisha rais kuwa fosel ni bora
 
Shirikisho la soka nchini TFF limetangaza kuwa tuzo za TFF zitakuwa zinatolewa kwenye ngao ya janii


Hata aibu hawaoni eti!! Nimejaribu kuangalia hilo tangazo lao ili nione kama wana sababu ya msingi ya kuleta huo ubabaishaji wao, hata sijaiona.

Na kwa ujinga wa aina hii, utaona ni muhimu kiasi gani kwa hili shirikisho kuongozwa na watu werevu, badala ya hawa wanasiasa wa ccm, wakiongozwa na Wallace Karia.
 
Huyo mhuni na wahuni wanzake muda wao wa uongozi unaisha lini?
 
Kuongozwa na mtu kama Karia tunajitukana sana. Akapumzike alee kitambi chake bhn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…