Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama wameshinda mechi nyingi( not sure), lkn sidhani ni kigezo tosha cha kumpa ubora mwenye goli moja na assist 0.Azam na Gwambina wameshinda game ngapi mwezi wa 10?
Mmeshaanza wivu nyie mikia! Na mwaka huu mchezaji bora hampati hata mmoja*
MUKOKO
Mechi 4
goli 1
Assist 0
Dube
Mechi nne
Goli 3
Assist 3
MESHACK WA GWAMBINA
Mechi : 4
Goal : 4
Assist : 2
Mchezaji Bora MUKOKO
Au Kuna Kigezo Kingine Kimetumika Ili Kumpata Mchezaji Bora
_*Anaejua Tuelimishane Kidogo
Defensive mido ulitegemea awe na goli ngap?Hata kama wameshinda mechi nyingi( not sure), lkn sidhani ni kigezo tosha cha kumpa ubora mwenye goli moja na assist 0.
Umeiuliza vyema hiyo Mbumbumbu.Defensive mido ulitegemea awe na goli ngap?
*
MUKOKO
Mechi 4
goli 1
Assist 0
Dube
Mechi nne
Goli 3
Assist 3
MESHACK WA GWAMBINA
Mechi : 4
Goal : 4
Assist : 2
Mchezaji Bora MUKOKO
Au Kuna Kigezo Kingine Kimetumika Ili Kumpata Mchezaji Bora
_*Anaejua Tuelimishane Kidogo
Ubora kwenye nini? bila results? Kwa kuzunguka tu uwanjani?Aliyetangazwa ni mchezaji bora wa mwezi,sio mfungaji bora wa mwezi
Ubora wake ni nini sasa???Defensive mido ulitegemea awe na goli ngap?
Hivi nyie mikia mbona mna nyege mshindo sana???*
MUKOKO
Mechi 4
goli 1
Assist 0
Dube
Mechi nne
Goli 3
Assist 3
MESHACK WA GWAMBINA
Mechi : 4
Goal : 4
Assist : 2
Mchezaji Bora MUKOKO
Au Kuna Kigezo Kingine Kimetumika Ili Kumpata Mchezaji Bora
_*Anaejua Tuelimishane Kidogo
Mchezaji bora ni micquisonne anaekimbia tu uwanjani. Usijali mkuu na sisi tunatoa tuzo yetuUbora kwenye nini? bila results? Kwa kuzunguka tu uwanjani?
Kwenye kiungo Cha kukaba mwezi wa 10 alikuwa fit sana (Costal, Polisi, KMC)Ubora wake ni nini sasa???
Kaze mwezi wa kumi game 3 kashinda 3Kwa Mukoko anastahili ila Kaze .......
Ndio maana ukaulizwa timu yake imeperfom vipi,Ubora kwenye nini? bila results? Kwa kuzunguka tu uwanjani?