byeyombo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 2,647
- 4,184
Kumbe kuna tuzo ya kupaki basi..hahaaaKwenye kiungo Cha kukaba mwezi wa 10 alikuwa fit sana (Costal, Polisi, KMC)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna tuzo ya kupaki basi..hahaaaKwenye kiungo Cha kukaba mwezi wa 10 alikuwa fit sana (Costal, Polisi, KMC)
Wewe ulitaka kiungo mkabaji afanyeje au aweje ili aonekane ni bora?Ubora wake ni nini sasa???
Alipaki basi pasipo kupata matokeo? Mbona kocha kishingo anawapikisha biriani lakini point sita mmezipoteza?Kumbe kuna tuzo ya kupaki basi..hahaaa
Game ya Costal Yanga 3 Costal 0, Game ya Polisi Yanga 1 Polisi 0, Game ya KMC Yanga 2 KMC 1. Mabusi huwa yanapaki stendi tu, ukiliona limepaki mtaani jua bovuKumbe kuna tuzo ya kupaki basi..hahaaa