byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 2,647 Reaction score 4,184 Nov 15, 2020 #21 Mr_X said: Kwenye kiungo Cha kukaba mwezi wa 10 alikuwa fit sana (Costal, Polisi, KMC) Click to expand... Kumbe kuna tuzo ya kupaki basi..hahaaa
Mr_X said: Kwenye kiungo Cha kukaba mwezi wa 10 alikuwa fit sana (Costal, Polisi, KMC) Click to expand... Kumbe kuna tuzo ya kupaki basi..hahaaa
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 Nov 15, 2020 #22 byeyombo said: Ubora wake ni nini sasa??? Click to expand... Wewe ulitaka kiungo mkabaji afanyeje au aweje ili aonekane ni bora?
byeyombo said: Ubora wake ni nini sasa??? Click to expand... Wewe ulitaka kiungo mkabaji afanyeje au aweje ili aonekane ni bora?
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 Nov 15, 2020 #23 byeyombo said: Kumbe kuna tuzo ya kupaki basi..hahaaa Click to expand... Alipaki basi pasipo kupata matokeo? Mbona kocha kishingo anawapikisha biriani lakini point sita mmezipoteza?
byeyombo said: Kumbe kuna tuzo ya kupaki basi..hahaaa Click to expand... Alipaki basi pasipo kupata matokeo? Mbona kocha kishingo anawapikisha biriani lakini point sita mmezipoteza?
Mr_X JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,170 Reaction score 2,335 Nov 15, 2020 #24 byeyombo said: Kumbe kuna tuzo ya kupaki basi..hahaaa Click to expand... Game ya Costal Yanga 3 Costal 0, Game ya Polisi Yanga 1 Polisi 0, Game ya KMC Yanga 2 KMC 1. Mabusi huwa yanapaki stendi tu, ukiliona limepaki mtaani jua bovu
byeyombo said: Kumbe kuna tuzo ya kupaki basi..hahaaa Click to expand... Game ya Costal Yanga 3 Costal 0, Game ya Polisi Yanga 1 Polisi 0, Game ya KMC Yanga 2 KMC 1. Mabusi huwa yanapaki stendi tu, ukiliona limepaki mtaani jua bovu