Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Juzi wizara husika kwa kushirikiana na vyombo vengine vya kisanaa vilitangaza shortlist ya majina wanaogombea tuzo mbalimbali ikiwemo tuzo za wasanii bora wa muziki Tanzania.
Kinachoshangaza sana, wasanii wanaoiwakilisha nchi kimataifa i.e. diamond, alikiba, zuchu, rayvanny etc hawajajitokeza kuwasilisha kazi zao kwa ajili ya tuzo hizi, eti namuona mpk ben pol na whozu kwny list ya wasanii bora wa kiume.
Hivi nchi nyngn zitachukuliaje tuzo hizi? Tatizo ni ego kubwa(kujiona na kujikuta) kwa wasanii ambao hawajajitokeza au tatizo lipo wapi hasa nyuma ya pazia.
Tuone mfano wa nchi za wenzetu wanavopambania tuzo za kwao km Nigeria, South Africa na hata nchi za ulaya, kweli tunataka diamond achukue tuzo za msanii bora afrika wakat hata hapa bongo tu hayupo kwny kinyang'anyiro cha wanaogombea?? Aaagh inasikitisa bana