KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM...
Kipa Bora
Djigue Diarra - Yanga(anadeserve mdaka mishale wa jangwani)
Mfungaji Bora
Clement Mzize Yanga(dogo Yuko vizuri na bila Shaka msimu ujao atakuwa Moto zaidi endapo akiacha utoto uwanjani)
TUZO ZA LIGI KUU NBC
Mchezaji Bora
1:Fistoni Mayele - Yanga(amekuwa na muendelezo wa performance nzuri kutoka msimu ulioisha Hadi HIVI SASA)
2:Bruno Gomez - Singida BS(amekuja msimu huu lakini kafanya mambo makubwa pale singida )
3:Saido Ntibazokiza - Geita/Simba(Mimi ni yanga Ila saido amekuwa ni mchezaji mzuri Sana tangia alivyokuwa yanga,alivyoenda Geita na sasa Simba alipo)
4&5😀iarra na mzamiru sidhani kama wamefanya maajabu Sana hata ya kumzidi chama yakuwafanya wapewe hadhi yote hii japo wamepambana Kwa nafasi yao.
Kipa Bora
Djigui diarra-iko wazi inajulikana
Beki Bora
Job Dickson
Kiungo Bora
Chama-anadeserve kuichukua hii tuzo
Bruno-ikiwa chama wataona hawafai basi wampe huyu mbrazil
Aziz ki-bado Sana maana hata robo ya kiwango chake hajakionesha hivyo tumngojee msimu ujao.
Kocha bora-Professeur Nabi anadeserve
Meneja Bora wa uwanja
Nadhani Yule wa Highland estate anafaa na ilibidi apewe uwanja WA mkapa.
Chipukizi
Mzize
NAPOKEA CRITICISM