Tuzo za Sinema Zetu

Hee naona totoz zilizoingia humo ndani zimeng'aa haswaaa kumbe nawe humo eh!!nilikua hiyo mitaa nusu saa iliyopita mambo ni motooo!!enjoy
 
Tuliopo Mlimani City muda huu kwenye tuzo za cinema zetu tusalimiane wakuu. Niko upande wa VIP niko na black gauni na wadada wengine watatu wamevaa blue jeans wana vyura fulaaani.
Duh kumbe ndo wewe!! Haki ya nani sikuwahi kudhani we ni mrembo kiasi hiki! Niko karibu sana na wewe nimevaa suite black flani hivi ila naomba nisikufuate maana natumia fake ID naogopa na wewe usiwe miongoni mwa wale wasojulikana. Ila to be honest nimevutiwa sana sana na wewe
 
Hee naona totoz zilizoingia humo ndani zimeng'aa haswaaa kumbe nawe humo eh!!nilikua hiyo mitaa nusu saa iliyopita mambo ni motooo!!enjoy
Okay dear
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sina urembo wowotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…