Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Aaah safiiiiBaby aliniambia nifunge peimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio nanyoa ndevu nije aisee
nipo nje hapa karbu nakusubiriWashamaliza hapa
ok njoo karbu na gari jeusi prado tx hapa nmeigamia gariNiko nje na mie acha wongoo
ok njoo karbu na gari jeusi prado tx hapa nmeigamia gari
haha mbona unacheka umeniona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
achana na uber nmdrop jamaa angu hapo kwao mwenge alafu ndo nukuwaisha weweNasubiria zangu uber mie
leo nmefika dar kwa njia ya jamii forum na nmehudhuria tamasha mzigua ukiwa mita chache kutoa nilipokaa now narud mkoani sasaHayaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Safari njema.