Tuzo za Sinema Zetu

Nina uhakika wa asilimia 100 huyo ni wewe!

Hivi una mwanya wewe eeeh?

Melanin magic baby......hot like fire!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mwanya umeuona wapi hapo NN?
 
Hivi ulikuwa umenuna hadi kwenye Uber?

Oh basi itakuwa wakati nakulisha mishkaki [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hukuuona pia eti
 
Kwani ulitaka kumnyima nini hadi ukamwamkia shkamoo?

Mchoyo mchoyo tu wewe [emoji16]
Ntampa nini mimi yule mbaba wa mjini. Kaanza kula wanawake sijazaliwa. Nampa heshima tu kilichobaki japo mwenyewe uzee hataki [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…