Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanamasihara balaaAcha unaa shem
Nilidhan jamaa yupo hapo kweliKwanini sasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kamba tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mwanya umeuona wapi hapo NN?
Wakati nimenuna? Kuna swali lako mahali [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hukuuona pia eti
Ndo maana kibabu kama yule mbabu wa SA aliejipunguza miaka
Jana nilimwamkia. Nikamwambia shikamoo baba [emoji23][emoji23][emoji23]
Ntampa nini mimi yule mbaba wa mjini. Kaanza kula wanawake sijazaliwa. Nampa heshima tu kilichobaki japo mwenyewe uzee hataki [emoji23][emoji23]Kwani ulitaka kumnyima nini hadi ukamwamkia shkamoo?
Mchoyo mchoyo tu wewe [emoji16]
Weka picha jamani story bila picha hainogi kabisa