Tuzo za Sinema Zetu

Tuzo za Sinema Zetu

SJ baby......

Mzigua jana alitishaaaaaaaaaaaaa!

Fully loaded in all the right places!

Acha wamchukie tu wenye roho za kutu
Hiyo SJ imenichekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nilitisha na nini kipenzi? Wenye chuki watajimurder
 
Kila kitu kilikuwa on point!

Kuanzia nywele, kigauni, pozi, viatu, mwanya......[emoji3][emoji817][emoji817]
Asanteeee. Hadi pozi lilikua on point? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom