Tuzo za Soundcity MVP2018b Diamond, Navykenzo na Harmonize wang'aa

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kituo cha Sound city Africa kimetoa nomination za tuzo zao kwa wasanii waliofanya vizuri barani Africa mwaka 2018 huku wasanii nguli Wizkid, Davido, Diamond,Tiwa Savage wakiongoza kwa nominations
Kwa Tanzania wasanii Diamond , Navykenzo, harmonize,Vanessa mdee ,Maua Sama na Mboso wakichomoza na kung'aa
Diamond, Navykenzo na Harmonize wakiongoza kwa nominations nyingi zaidi

Diamond amepata nominations 6
Best male
Best POP
Best collaboration( jibebe)
Song of the year (African beauty)
Digital artist of year
Artist of the year

Navykenzo amepata nominations 5
Song of the year (katika)
Listerners choice (katika)
Best group
Best collaboration (katika)
Producer of the year( narreael)

Harmonize amepata nominations 3
Best male
Song of the year ( kwang'waru)
Listerners choice ( kwang'waru)

Vanessa Mdee amepata
Digital artist of year

Maua Sama amepata
Best female

Mbosso amepata
New artist of the year

 
KingiKIBA yeye vipi awe hataki SHOOFU?? [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Waambie huko kote sawa Ila kwa mboso wamebugi hiyo ni old skuli sema wao walikuwa hawamjui tu
Ata mlima Kilimanjaro watu walikuwa wanaujua, lakini mzungu ndio unaambiwa kauvumbua kaaa chini ujiulize wale wamasai walikuwa hawauoni ?
 
Waambie huko kote sawa Ila kwa mboso wamebugi hiyo ni old skuli sema wao walikuwa hawamjui tu
We kopo kweli yaani unashindwa kutofautisha mboso wa ya moto band au 2016 ambae nyimbo zake zilikuwa hazisikiki Sana kuanzia bongo,africa mashariki na hata Africa na mboso wa wasafi WCB ambae hana mipaka,watu walikuwa hawamjui uko ndio wanamsikia sasa washindwe kumkubali kwasababu ya wewe jirani yake ambae umeanza kumsikia tangu akiwa mtaani?kwaio ulitaka kutoka Tanzania kwa mwaka huu icho kipengere aingie nani?unajiongezea sumu mwilini bure bila sababu za msingi kwa chuki zako za ovyo utakufa kwa depression.[emoji3519][emoji725][emoji741]
 
Sikiliza bint hiyo mipovu yako kamtolee mumeo, kwahiyo beyonce wa kwenye kundi na alipoachana na kundi aliku rookie?
 
Sikiliza bint hiyo mipovu yako kamtolee mumeo, kwahiyo beyonce wa kwenye kundi na alipoachana na kundi aliku rookie?
Mabinti Kama wewe ndio mnapovu, hujajiona ulivo comment upupu pale juu,chuki acha we mrembo,au mboso Alikupiga chini/kukucheet,pole punguza wivu Co mzuri,kuwa na kiasi hata bible inasema ivo.
 
Mabinti Kama wewe ndio mnapovu, hujajiona ulivo comment upupu pale juu,chuki acha we mrembo,au mboso Alikupiga chini/kukucheet,pole punguza wivu Co mzuri,kuwa na kiasi hata bible inasema ivo.
We ndio unakazwa na mboso
 
Hizi tuzo batili, mbona sijamuona Konki Konki Konki master Oil chafu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…