Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa nane mchana. Tuzo hizo zitatolewa katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam.
Vipengele vya tuzo vilitangazwa tarehe 29 Agosti 2024, na upigaji kura ulianza rasmi tarehe 3 Septemba 2024, ukitarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi huo.
Kwenye kipengele cha Wimbo Bora wa Bongo Flava wa Mwaka, nyimbo zinazowania tuzo ni “Yatapita” ya Diamond Platnumz, “Baridi” ya Jay Melody, “Single Again” ya Harmonize, “Mahaba” ya Alikiba, na “Honey” ya Zuchu.
Je, ni nani unadhani ataibuka mshindi katika kipengele hiki?
Pia soma: Hivi hapa vipengele vya tuzo za Tanzania music awards (TMZ)
www.jamiiforums.com

Rayvanny aomba kutolewa katika tuzo za TMA
Msanii wa muziki Tanzania Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba kutolewa kabisa katika tuzo za Tanzania music awards (TMA) amesema kua anaheshimu sana wizara ya sanaa lakini hakubaliani na fitna za watu wachache , hivyo kwa unyenyekevu ameomba kutolewa katika tuzo hizo.