Tuzo za TFF 2024 What a Shame!

Tuzo za TFF 2024 What a Shame!

Wakuu sana JF na wapenda Michezo, especially Football, Nisiwachoshe Msinichoshe niende kwenye Point.

Tuzo za TFF 2024 zinazoendele kwa sasa zimeonesha ni jinsi gani hii Taasisi ni Moja kati ya taasisi za Hovyo sana nchini

Matukio yaliyodhihirisha kuwa hii ni Taasisi ya Hovyo, kwenye kuandas hili Tamasha

1. Kwenye Opening Speech, Rais wa Shirikisho badala ya Kujikita kwenye Core Bussiness, hapa ni Football, kuelezea Mafanikio ya Msimu uliopita, Challenges, Expectations na means in hand za kufikia Expetations , Raisi ametumia muda Mwingi kuongea Uchawa, Kusifia SGR na kauli mbiu za wana Siasa.

Rais amesahau Mpaka ku recognize Efforts za wadhamini wa Ligi, NBC, watu Binafsi waliowekeza kwenye Tanzania Footbal kama GSM, Azam, Mo wa Makolo etc ambao Kimsingi ndio Siri ya Success ya Ligi yetu, what a shame

2. ⁠Msigwa, Katibu Mkuu, same Mistake, muda Mrefu anafanya Uchawa, anajichanganya kuwa tuko Vizuri, Serikali imewekeza, Mwishowe anakuja kujikana kwa kusema hatujatoboa na anawaomba wadau wasaidie kuwekeza kwenye Miundombinu ya Soccer Mfano Sports Academy etc, Msigwa amenisikitisha kwa kuto wa recognise NBC, Wadhamini wa Ligi

3. ⁠Waandaaji wa Tamasha la ovyo, hakuna Coordination kati ya wanachoongea na Bahasha zinaletwa ku unlock tukio, what a shame, presence ya washindi imekuwa ya hovyo

Niishie hapa, TFF jirekebisheni
Aibu ya mwaka.
 
Kiungo Bora ilikuwa naona ya Ki Stephan, Kipre Junior na Feisal Salum
Ki Stephan Amelye’s Kiungo Bora
Utahan has Feisal anakuwa Mchezaji Bora
Yaani alisema Honda kwenye Kuing’oa Bora Kama Honda Kwenye Uchezaji Bora
Hakyanani.
 
Wakuu sana JF na wapenda Michezo, especially Football, Nisiwachoshe Msinichoshe niende kwenye Point.

Tuzo za TFF 2024 zinazoendele kwa sasa zimeonesha ni jinsi gani hii Taasisi ni Moja kati ya taasisi za Hovyo sana nchini

Matukio yaliyodhihirisha kuwa hii ni Taasisi ya Hovyo, kwenye kuandas hili Tamasha

1. Kwenye Opening Speech, Rais wa Shirikisho badala ya Kujikita kwenye Core Bussiness, hapa ni Football, kuelezea Mafanikio ya Msimu uliopita, Challenges, Expectations na means in hand za kufikia Expetations , Raisi ametumia muda Mwingi kuongea Uchawa, Kusifia SGR na kauli mbiu za wana Siasa.

Rais amesahau Mpaka ku recognize Efforts za wadhamini wa Ligi, NBC, watu Binafsi waliowekeza kwenye Tanzania Footbal kama GSM, Azam, Mo wa Makolo etc ambao Kimsingi ndio Siri ya Success ya Ligi yetu, what a shame

2. ⁠Msigwa, Katibu Mkuu, same Mistake, muda Mrefu anafanya Uchawa, anajichanganya kuwa tuko Vizuri, Serikali imewekeza, Mwishowe anakuja kujikana kwa kusema hatujatoboa na anawaomba wadau wasaidie kuwekeza kwenye Miundombinu ya Soccer Mfano Sports Academy etc, Msigwa amenisikitisha kwa kuto wa recognise NBC, Wadhamini wa Ligi

3. ⁠Waandaaji wa Tamasha la ovyo, hakuna Coordination kati ya wanachoongea na Bahasha zinaletwa ku unlock tukio, what a shame, presence ya washindi imekuwa ya hovyo

Niishie hapa, TFF jirekebisheni
Raisi wa TFF anajijua hana sifa za kuliongoza hilo shirikisho, kwa hiyo ili lengo lake la kufia madarakani litimie, amegeuka kuwa chawa kama kinga ya madaraka
 
Walishindwa kufanyia mliman? Ngazi gani zile za kupandia jukwaani kama tamasha la mziki?
Viti sasa vipo kama darasani tena tuition
 
Mambo ya kijinga kabisa. Kuanzia tuzo zilivyo na muonekano wa HOVYO mpaka jinsi zinavyotolewa. Tumezoea kwenye tuzo zingine mfano Ballon d or kuna poddium maalum ya speech mara baada ya mchezaji kupokea tuzo anaenda anazungumza machache kutoa shukrani nk. Ila hapa bongo utadhani fujo aziz ki anaenda kupokea tuzo anachambwa yeye na Hamisa utadhani alikosea😀 ukija kwa watazamaji wamekaa kama wako kwenye kikao cha kamati ya harusi 😀 meza zimetandikwa mashuka meupe😀 huu ujinga ndiyo walisubirisha watu kwa miezi wakisema wanaboresha tuzo kumbe wanaandaa makopo ya plastic kama tuzo?🤔
 
Back
Top Bottom