Tuzo za TFF 2024 What a Shame!

Aibu ya mwaka.
 
Kiungo Bora ilikuwa naona ya Ki Stephan, Kipre Junior na Feisal Salum
Ki Stephan Amelye’s Kiungo Bora
Utahan has Feisal anakuwa Mchezaji Bora
Yaani alisema Honda kwenye Kuing’oa Bora Kama Honda Kwenye Uchezaji Bora
Hakyanani.
 
Raisi wa TFF anajijua hana sifa za kuliongoza hilo shirikisho, kwa hiyo ili lengo lake la kufia madarakani litimie, amegeuka kuwa chawa kama kinga ya madaraka
 
Walishindwa kufanyia mliman? Ngazi gani zile za kupandia jukwaani kama tamasha la mziki?
Viti sasa vipo kama darasani tena tuition
 
Mambo ya kijinga kabisa. Kuanzia tuzo zilivyo na muonekano wa HOVYO mpaka jinsi zinavyotolewa. Tumezoea kwenye tuzo zingine mfano Ballon d or kuna poddium maalum ya speech mara baada ya mchezaji kupokea tuzo anaenda anazungumza machache kutoa shukrani nk. Ila hapa bongo utadhani fujo aziz ki anaenda kupokea tuzo anachambwa yeye na Hamisa utadhani alikosea😀 ukija kwa watazamaji wamekaa kama wako kwenye kikao cha kamati ya harusi 😀 meza zimetandikwa mashuka meupe😀 huu ujinga ndiyo walisubirisha watu kwa miezi wakisema wanaboresha tuzo kumbe wanaandaa makopo ya plastic kama tuzo?🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…