John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Sijajua vigezo wanavyotumia TFF lakini hata kwa kipofu asiyetazama mpira na kusikiliza kwa Radio anajua kazi kubwa aliyoifanya Khalid Aucho, TFF inathubutuje kutomtaja katika orodha ya viungo bora?
Ushauri kwa TFF isilazimishe kubalance hizi tuzo ili kuweka usawa, Bali watumie uhalisia wa mambo na tuzo ziende kwa watu sahihi bila kujali timu walizotoka na idadi ya wachezaji waliopata tuzo kutoka timu fulani.Mfano, Kama viungo,mabeki,kipa bora wote wanatoka Simba basi wapewe tuzo zao bila kulazimisha kubalance ili timu zingine zipate.Wakifanya hivyo wanaondoa uhalisia na hawasaidii kukuza soka la Tanzania.