sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kisa bosi wako hayupo kwa list au?Wengine walitegemea baada ya kupata waziri anaetokea kwenye muziki basi kuna mambo walau tutaanza kupiga hatua.
Kinyume chake tunazidi kudidimia, Mwana FA kashindwa kusimamia tuzo. Ni vurugu hazieleweki.
Ni heri muwape agency wazisimamie wapeni hata benchmark. FA na timu yako mnatia aibu.
Sio leoZinaonyeshwa kwenye tv gani.?
Eh sasa jamaa amejuaje kuna vurugu zisizoeleweka 😂Sio leo
Hakuna mtu mwenye akili anaweza shiriki utoto huo. Ataishia kuzipa ukubwa ambao hazijawa nao.Kisa bosi wako hayupo kwa list au?
Ndio mwenye dhamana ya sanaa nchini. Ukisikia anaulizwa waziri kuhusu vyura uwa unaelewa nini au umekosa ata akili za kuvukia barabara?Sasa Naibu anahusika nini?
Una tatizo la uelewa na mimi siwajibiki na uwezo wako duni wa kuelewa taarifa.Eh sasa jamaa amejuaje kuna vurugu zisizoeleweka 😂
Boss wake hayupo kwa list ya wagombania tuzoEh sasa jamaa amejuaje kuna vurugu zisizoeleweka 😂
Hazitaki. Alishavuka huko kitambo sio wa level za kushindana na kina dullah makabila kina konde wasiojua hata kuoga.Boss wake hayupo kwa list ya wagombania tuzo
Sasa tatizo nini?Hazitaki. Alishavuka huko kitambo sio wa level za kushindana na kina dullah makabila kina konde wasiojua hata kuoga.
Tuzo ni za hovyo ndio tatizo.Sasa tatizo nini?
Hujawai kumiliki akili na amani ya moyo.duh chawa pole
Hujawai kumiliki akili na amani ya moyo.inashangaza
Kwahiyo mimi namchukia Diamond? Kwa lipi hasa?Tuzo ni za hovyo ndio tatizo.
Chuki zenu kwa Diamond Platnumz kila kitu mnakitazama kwa jicho la hapa Diamond ananufaikaje. Muziki wenu utaishia kuwa wa kipuuzi.
shangaa na wewe akili za wabongo aiseeSasa Naibu anahusika nini?