Tuzo za TMA chini ya Mwana FA zimezidi kuwa za hovyo

IMG_20230407_090945.jpg

Siku ukimwambia mtu aliyeratibu hizi tuzo ni waziri aliyetokea kwenye muziki anaweza akupige.

Sawa tuzo zipo sawa tatizo letu kubwa ni Diamond 😂😂😂
 
huwezi kumridhisha kila mtu, na huwezi kumpa award kila mwanamuziki/prodyuza
kila musician analalamika hayupo kwenye tuzo

mwana FA mwenyewe alijitoa TMA(zamani Kili MA) miaka ya 2009 na wengineo, na hapo ni kitambo
 
Huwezi ridhisha kila mtu ila ukisimamia quality unawafunga watu midomo. Sidhani kama kuna tuzo za hivyo kama hizi zetu.
Mtu anajiona kwenye orodha na hajajipendekeza.
 
Uhovyo wa tuzo unakuja wapi??

Andika kitu cha kueleweka sio mihemko tu, leta hoja kwanini unasema tuzo ni za hovyo.

Nikajua unatoa ufafanuzi kwenye comments badala yake unaleta kejeli na matusi tu.
 
Kwa sababu Diamond hayupo. Vipi umefurahi??
 
Ona akili ya huyu jamaa sasa, si ufafanue kinaga ubaga.

Ukiwa na ushabiki sana mbongo zenu sometimes zinakuaga ni tope tupu, kwa akili zako za kitoto unadhani kila atakaekua tofauti na wewe basi hampendi uyo chakubanga. Idiot
 
Mie naona sasa ni wakati mzuri wa kutafuta vyanzo mbadala vya taarifa badala ya JF. Haiwezekani kuna zoezi la kutoa tuzo linaendelea mie sijui hili wala lile mpaka nakutana na post ya namna hii. Hakuna sehemu naingia kwa wingi kwenye simu yangu kama JF. Naona sasa haijitoshelezi.
 
Wengine walitegemea baada ya kupata waziri anaetokea kwenye muziki basi kuna mambo walau tutaanza kupiga hatua.

Kinyume chake tunazidi kudidimia, Mwana FA kashindwa kusimamia tuzo. Ni vurugu hazieleweki.

Ni heri muwape agency wazisimamie wapeni hata benchmark. FA na timu yako mnatia aibu.
Unajua nini kijana jitahidi kuwa na uwasilishwaji mzuri wa mada zako hapa sio kila mtu anajua kuna Tuzo zinaenda kufanyika Cha kwanza ulitakiwa ufanye ni kuleta hizo categories za nominees za hizo Tuzo kisha onesha wapi unaona hizi Tuzo zinamapungufu au mahala wapi waandaji wameyumba hivyo inakuwa rahisi kueleweka kuliko namna ulivyowasilisha ndio maana sometime unapokea criticisms. Mimi binafsi wamenishangaza wimbo Bora wa mwaka wa Rayvanny wameuweka Mwamba wakati kiuwalisia ilitakiwa iwe "nitongoze" ndio ulikuwa hitsong ya Rayvanny au mnasemaje Eyce na joseph1989 ? Pia jaymelody awe kwenye category ya mwanamziki Bora ametoa hit mbili Kali Sana "Nakupenda" na wingine nimeusahau jina alistahili uwepo kwenye hiyo category
 
Wewe kiande usinipangie niandike vipi, nitafanya vile nataka. Andika wewe unavyoona sawa.
 
Back
Top Bottom