Tuzo za TMA hiki cha Msanii Zuchu kuja na Madansa walivaa majoho ya madhabahu na misalaba kuimba matusi halikubaliki serikali ijue Wakristo tunahesabu

Tuzo za TMA hiki cha Msanii Zuchu kuja na Madansa walivaa majoho ya madhabahu na misalaba kuimba matusi halikubaliki serikali ijue Wakristo tunahesabu

Nasi wakristo tutaanza kuwachapa fimbo muda si mrefu. Jitu.linaimba nyimbo za ngono alafu linaweka kiitikio Bwana Asifiwe au Haleluya.

Tutaanza kuwashughulikia kama walivyofanya mbeya.
 
Mi sio mtu wa hizo Imani mbili , ila Kwa maoni yangu Kila mtu aheshimu Imani ya mwenzio bila kuikashifu, mfano d voice aliimba " nikuulize unamjua yesu , Kwa jina la baba ilo na la mwana ilo na roho mtakatifu aminaa ilo" afu ye ni muislam
Tutaanza kuwapiga mida si mrefu. Akiweka wimbo wenye maneko hayo, akija kuimba stejini tunampiga. Serikali na BASATA wameshindwa kuulinda ukristo, sasa tuaanza kujilinda wenyewe.
 
Nasi wakristo tutaanza kuwachapa fimbo muda si mrefu. Jitu.linaimba nyimbo za ngono alafu linaweka kiitikio Bwana Asifiwe au Haleluya.

Tutaanza kuwashughulikia kama walivyofanya mbeya.
Kabisa , afu kinachosikitisha sio wakristo ,Bora ata angekua ni mkristo angeshauriwa na kuonywa na wakristo wenzake ila unakuta anaimba hvo ni muislam kuikashifu Imani ya wengine, Sheria unasema Kila mtu ana uhuru wa kuabudu Kwa amani bila kubughudhiwa Wala kufanyiwa kashfa kwny Imani yake ,
 
Pole mama au hata kama ni mbaba pole pia. Katika uislam muziki ni dhambi kubwa . Kwahiyo hizo tuzo tu ziko katika madhambi Kwa mujibu wa dini hii. Namaanisha hivi kutokuwepo Kwa Kwa gospo katika kategori hii hakumaanishi chochote kuhusu uongozi ama viongozi unasema ni waislam
Sijataja din but ndivyo ilivyo kidunia nzima
 
Komasava remix watu wameruka na makanzu ndani mule hii ni latest nafikiri utakuwa umeona
Komasava ni kama katumia picha ya wimbo na tamaduni za watu lakini sio wimbo wa kawaida wa mapenzi anaimba kanisani haitakiwi
 
Yule ni msanii, ile ni sanaa
usichukulie mambo yake serious
Mkuu umeshasahu yule dogo alifanya challenge ya dance akiwa amevaa kanzu mpaka basata wakampiga onyo!??
Haya madude ya kiimani tuyaache tu!
 
Komasava ni kama katumia picha ya wimbo na tamaduni za watu lakini sio wimbo wa kawaida wa mapenzi anaimba kanisani haitakiwi
Mkuu mimi nilizungumzia Kanzu, na yule Diamond kacheza nazo mziki , tabia ya kuimba miziki na kucheza movies za kanisani mmeanza wenyewe wakristo wengine wanamalizia tu
 
S
Mkuu mimi nilizungumzia Kanzu, na yule Diamond kacheza nazo mziki , tabia ya kuimba miziki na kucheza movies za kanisani mmeanza wenyewe wakristo wengine wanamalizia tu
Sio kweli chunguza wengi wanaochezea ni waislam,ukiona mkristo ujue nyimbo ina ujumbe wa kidin zaidi
 
S

Sio kweli chunguza wengi wanaochezea ni waislam,ukiona mkristo ujue nyimbo ina ujumbe wa kidin zaidi
acha kuwasingizia waislamu matatizo yenu ya kulifanya kanisa ni sehemu ya sanaa, huu utaratibu mmeanza wenyewe na hakuna jinsi ya kuuzuia maana umeota mizizi
 
Kaa kimya naona unajiongekesha tu🙄🙄🙄🙄 acha mihemuko wewe chunguza hebu tokaa hapa kajiongeze
 
Back
Top Bottom