Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Tutaanza kuwapiga mida si mrefu. Akiweka wimbo wenye maneko hayo, akija kuimba stejini tunampiga. Serikali na BASATA wameshindwa kuulinda ukristo, sasa tuaanza kujilinda wenyewe.Mi sio mtu wa hizo Imani mbili , ila Kwa maoni yangu Kila mtu aheshimu Imani ya mwenzio bila kuikashifu, mfano d voice aliimba " nikuulize unamjua yesu , Kwa jina la baba ilo na la mwana ilo na roho mtakatifu aminaa ilo" afu ye ni muislam
Kabisa , afu kinachosikitisha sio wakristo ,Bora ata angekua ni mkristo angeshauriwa na kuonywa na wakristo wenzake ila unakuta anaimba hvo ni muislam kuikashifu Imani ya wengine, Sheria unasema Kila mtu ana uhuru wa kuabudu Kwa amani bila kubughudhiwa Wala kufanyiwa kashfa kwny Imani yake ,Nasi wakristo tutaanza kuwachapa fimbo muda si mrefu. Jitu.linaimba nyimbo za ngono alafu linaweka kiitikio Bwana Asifiwe au Haleluya.
Tutaanza kuwashughulikia kama walivyofanya mbeya.
Sijataja din but ndivyo ilivyo kidunia nzimaPole mama au hata kama ni mbaba pole pia. Katika uislam muziki ni dhambi kubwa . Kwahiyo hizo tuzo tu ziko katika madhambi Kwa mujibu wa dini hii. Namaanisha hivi kutokuwepo Kwa Kwa gospo katika kategori hii hakumaanishi chochote kuhusu uongozi ama viongozi unasema ni waislam
Sio Kweli taja ngoma mojaMbona kanzu watu wanavaa sana Mzee? fatilia wasanii hawaachi kitu mzee
Komasava remix watu wameruka na makanzu ndani mule hii ni latest nafikiri utakuwa umeonaSio Kweli taja ngoma moja
Komasava ni kama katumia picha ya wimbo na tamaduni za watu lakini sio wimbo wa kawaida wa mapenzi anaimba kanisani haitakiwiKomasava remix watu wameruka na makanzu ndani mule hii ni latest nafikiri utakuwa umeona
Mkuu umeshasahu yule dogo alifanya challenge ya dance akiwa amevaa kanzu mpaka basata wakampiga onyo!??Yule ni msanii, ile ni sanaa
usichukulie mambo yake serious
Mkuu mimi nilizungumzia Kanzu, na yule Diamond kacheza nazo mziki , tabia ya kuimba miziki na kucheza movies za kanisani mmeanza wenyewe wakristo wengine wanamalizia tuKomasava ni kama katumia picha ya wimbo na tamaduni za watu lakini sio wimbo wa kawaida wa mapenzi anaimba kanisani haitakiwi
Sio kweli chunguza wengi wanaochezea ni waislam,ukiona mkristo ujue nyimbo ina ujumbe wa kidin zaidiMkuu mimi nilizungumzia Kanzu, na yule Diamond kacheza nazo mziki , tabia ya kuimba miziki na kucheza movies za kanisani mmeanza wenyewe wakristo wengine wanamalizia tu
acha kuwasingizia waislamu matatizo yenu ya kulifanya kanisa ni sehemu ya sanaa, huu utaratibu mmeanza wenyewe na hakuna jinsi ya kuuzuia maana umeota miziziS
Sio kweli chunguza wengi wanaochezea ni waislam,ukiona mkristo ujue nyimbo ina ujumbe wa kidin zaidi