Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu.
Siku ya Jumamosi taifa zima macho yao yalikuwa pale The Superdome kushuhudia tuzo kubwa za Tanzania music awards lakini kiukweli vitu ambavyo tuliahidiwa na kitu tulichokutana nacho ni vitu viwili tofauti.
Tuzo tuliahidiwa kuwa zitakuwa na standard ya kimataifa lakini naweza kusema, maandalizi ya tuzo a Malkia wa nguvu hayakuwa tofauti na tuzo hizo.
Kwanza kabisa floor manager alifeli. Kulikuwa na transition kubwa sana mpaka msanii aje kuperform stejini. Mfano wakati Abigail Chams anaenda kutumbuiza, watazamaji tulisubiri takribani dk 10 muda huo wote wanaandaa jukwaa. Ni tuzo gani za kimataifa zinafanya hivyo.
Pia, sound ndo ilikuwa hovyo kabisa. Kwa sisi tuliokuwa tunaangalia kupitia Youtube ya Millard Ayo kuna muda tulikuwa tunakaa hata dakika 20 hatusikii sauti. Hivi kweli kitu kama hicho nacho mtasema ni dharura?
Hapo sijaongelea namna wasanii walikuwa wanaenda kupokea tuzo kama kijiji. Chino kwa mfano, wakati anaenda kuchukua tuzo watu zaidi ya 10 walikuwa on stage. Anashindwa hadi kuongea amefocus na rafiki zake. Ni tuzo gani za kimataifa mshawahi kuona wanaenda mamia ya watu kama mifugo on stage?
Kuna muda Idris Sultan alienda on stage akaanza kuita mtu ambaye amepaki vibaya nje akatoe gari lake. Serious? Hizo ni tuzo au kipaimara?
Soma pia:
Mwisho kabisa, kuna vipengele watu walishinda hawakustahili. Mtu kama Ali Kiba ngoma yake ya Mahaba kuishinda Single Again au Yatapita ya Diamond ni uongo. Inaleta picha kwamba alipewa kama zawadi lakini hakustaili.
Pia, Rayvanny kushinda tuzo ya wimbo bora wa singeli ni total disrespect kwa wasanii wote wa Singeli. Tunajua kwamba Ray alipewa kwa sababu alifanya revolt lakini HAKUSTAHILI.
Mwisho, BASATA wamejitahidi katika kupunguza malalamiko lakini suala la production bado sana. Kuna muda unawaza hivi ile feed ya Youtube ndio ile ile itaenda BET na MTV au kulikuwa na feed nyingine.
Nilichojifunza kwenye TUZO za TMA zinahitaji consistency ya hali juu kuja kufikia ubora unaotakiwa,kuanzia kwenye kuchagua nominee mpaka kwenye maandalizi kwa ujumla, Tuendelee kukaza tutafika kule tunapotaka kufika tuichkulie serious tuache kufree style

Licha ya kuhaidiwa kuwa tuzo zitarushwa kwenye vyombo vya Habari vya kimataifa vya MTV Base na chaneli za BET ambao ni Washirika wa tuzo za Muziki wa Tanzania (TMA Music Awards 2024) hadi sasa hatujaona kilichoenda kwenye vituo hivyo.
TMA swala la kumyima Tuzo hata moja #JayMelody ni uongo mkubwa sana mnafanya watu waamini kua nyinyi wenyewe ndo mnawapanga washindi na sio kura za mashabiki haya hongereni wasanii wote mliobahatika kupewa Tuzo
JITAFAKARINI!