Tuzo za Utalii: Kulikuwa na ulazima gani Steve Nyerere kuwakaribisha wageni kwa Kingereza?

Kuwakaribisha Kwa kiingereza wala sio shida
Tatizo hadi mzungumzaji wa kiingereza awe Mengere kwani hakuna Watanzania wanajua English vizuri
 
Kuna mtanzania gani anachangia pato la utalii?

Hawa Wachagga wangekuwa wanaenda hesabiana Serengeti labda kulikuwa na ulazima wa kutumia kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…