Tuzo za wachezaji zilienda sahihi kwa 98%, hongera Karia.

Tuzo za wachezaji zilienda sahihi kwa 98%, hongera Karia.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Tuzo ziliendana na ukweli wa kile kilichotokea kwenye msimu. Hata wanaotufuatilia hawatatukosoa. Ni shida ndogondogo tu za kibinadamu kama vile goli bora la Kipre. Kipre alifunga goli bora kwenye mechi dhidi ya timu bora kiasi gani? Mtibwa sugar ilikuwa timu mbovu sana kwenye msimu, hivyo mchezaji hapati shida kufunga goli la madoidal kwenye timu yenye mabeki wabovu kama wale wa mtibwa.
 
Back
Top Bottom