Mkasi_kipindi bora kwani hadi huku namtumbo tunakijua.
Salama jabir hadi huku tunamjua.
Mzee majuto anajulikana kuanzia mbamba bay hadi mpakani silari.
Mbwana samata pia.
Hao wengine hawajulikani hata kibaha
Hahaha yani hapo kwa Vannesa wamebugi kabisa.Kina Fred wakajipange upya otherwise wameanza vibaya...inawezekana hawajafanya uchakachuaji ila uhenda kuna kikundi cha watu kilijioganaiz kujipigia kura na kuharibu kabisa maana ya hizo tuzo..Haiwezekani na haiingii akilini kusema presenter anaependwa zaidi akawa Vanessa Mdee yani kuna vitu ata ukifoji vinakubalika ila hii inagoma kabisa..Ata kwa Dsm haipo iyo kuna kina chizi Zembwela na SuperMix yake pita mtaani mida flani usikie, kuna kina Dida wasituambie Hitlist inasikilizwa kuliko Mitikisiko ya Pwani cha timesfm kwa Dsm,kuna SportExtra cha kina Mbwiga..Bongo5 wameanza vibaya.
Mkuu matumbo hawa jamaa walijifungia chumbani na kuweka majina, na mengine yamewekwa geresha tuu.Kwenye Mkasi na Salama J mie nimekubali kabisa wamenishawishi...kwa Wachezaji pia wamenishawishi...kwa waigizaji bado hawajanishawishi naamini. king majuto na Joti ndio waigizaji wanaopendwa zaidi kibongobongo.
Rufiji,
What is the point of having a balance government based on religion if it is not effective? why fear that if one group is majority then they have an advantage?
Bottom line we are repeating the same nonsense by bitching about religion the same way it done after independence and continued in the past 3 administrations.
It is time to move one and think progressivelly and ask if these apointees can deliver! The foundation of our success is based on efficiency and effectivenes of those who are empowered to run things and not political or religious affiliation.
Hahahahaa mimi hapo kwenye kipindi cha redio kinacho pendwa ndio wameniacha hoi sana.
Kama umeniwahi...hata mie nilitaka kuhoji huu mtindo wa kuiangalia Tanzania nzima kupitia Dar....huu ni unyanyapaa...ni bora mngeziita tuzo za wana Dar.
Kwa mfano huku mikoani huyo Vanesa tunamtambua kama mwanamuziki...sasa kuja kutuambia tena ni mtangazaji na amequalify kugombea tuzo kwa sura ya nchi nzima...mmmmh, ni usanii wa kuburuza wanainchi wa mikoani.
Mjipange...fanyeni kwanza utafiti kujua tv na redio zinazoonekana sehemu kubwa Tanzania...otherwise endeleeni na tuzo zenu ila muziite Tuzo za wana Dar.
Daaa nimeshangaa mtangazaji wa radio kama chice kuwekwa kwenye category alaf radio kama Radio one,RFA,Capital na EARADIO kukosa categoryHuyo Vanesa mdee na Feza Kessy ni mashost wakubwa wa Utotoni na Mdogo ake Nancy, Patra Sumari. Naona Naye anataka kuleta usanii hivi Choice fm ina wasikilizaji wengi kushinda kiss fm kwa redio za Kiingereza Bongo hii. Wizi mtupu
Hahahaha hapo kwa Vannesa kwakweli wame chemsha.Naona hizi tuzo zinawahusu wahuni wahuni tu, Vanesa anafahamika dar na chalinze tu kama mtangazaji.
Mbona kama redio anayotoka ina sura ya kimkoa tu kiasi cha kukimbizwa vibaya sana hata na Ebony ya kule Iringa.
Leo ndio mara yangu ya kwanza kujuaa kuwa Feza ana pendwa kwa huo wimbo daa hizi tuzoo
Daaa nimeshangaa mtangazaji wa radio kama chice kuwekwa kwenye category alaf radio kama Radio one,RFA,Capital na EARADIO kukosa category
Alaf hapo heti kwenye category ya vipindi vya radio heti vya Clouds tuu ndio vinapendwa.haahahaha kuna vipindi kama Super mix(EARADIO ,kumepambazuka(radio one)
Hahaha yani hapo kwa Vannesa wamebugi kabisa.
Kwanza hiyo radio anayo tangaza nani ana isikiliza?
Lakini si nasikia hii bongo5 ina uhusiano na mawinguu?
Mkuu matumbo hawa jamaa walijifungia chumbani na kuweka majina, na mengine yamewekwa geresha tuu.
Wange waacha wananchi wapendekeze alafu ndio waone.
Hivi kweli super mix inaweza kukosa category?