Tuzo zilizoandaliwa na Bongo5 Media

Hivi ni kweli video ya muziki gani imeishinda video ya nje ya box weusi?

Alaf kama naona Salim keke na Godwin Gondwe walifaa kutengenezewa category yao kabisa

hapo kwa Kikeke ndio nimeshindwa kuwaelewa kabisa,mwanzoni nilifikiri hizi zinahusu watu wa burudani pekee sasa kumuona Kikeke ndio wamenichanganya mazima.
 
Mkuu matumbo hawa jamaa walicho kosea walitakiwa kutengeneza category tuu alaf waache wanachi wapendekeze kama KTMA lakini sikuja na vitu vya aina hii.

Lakini ukiingia kwenye web yao utagundua wana uhusiano na Clouds Media.
 
Last edited by a moderator:

Boss wa Bongo5 ni Luca mume wa Nancy... Na pia Nancy yupo pale kama mfanyakazi wao pia kumsaidia mumewe.
 
hapo kwa Kikeke ndio nimeshindwa kuwaelewa kabisa,mwanzoni nilifikiri hizi zinahusu watu wa burudani pekee sasa kumuona Kikeke ndio wamenichanganya mazima.
Naona kama Kikeke na Godwin hawakufaa hapo kabisa.
 
Mkuu matumbo jamaa ana sikilizwa sana hadi mashabiki wake wana muita rais
 
Last edited by a moderator:
Boss wa Bongo5 ni Luca mume wa Nancy... Na pia Nancy yupo pale kama mfanyakazi wao pia kumsaidia mumewe.

Okay, nimekusoma yule mshikaji nampata kishombe flani alimtosa mke wake kwa ajili ya Nancy,Nancy alipindua ndoa..
 
Mkuu qn of sheba na matumbo hayo mapendekezo ya wananchi ni yapi? Nyie mlisha sikia wananchi wamepewa nafasi ya kupendekeza washiriki kwenye hizi tunzo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu qn of sheba na matumbo hayo mapendekezo ya wananchi ni yapi? Nyie mlisha sikia wananchi wamepewa nafasi ya kupendekeza washiriki kwenye hizi tunzo?

Walitoa tangazo kwenye web yao nilishaona..ndio maana pale mwanzo nilisema uhenda wamechakachuwa au kuna watu walijioganaiz wakajipigia kura kwa wingi na ivyo kuharibu maana ya mchakato mzima.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani wahusika wanapita humu,ujumbe umewafikia kama tumechoka kuburuzwa.Choice fm inapatikana frequency ipi jamani maana kuuliza si ujinga.
 
Walitoa tangazo kwenye web yao nilishaona..ndio maana pale mwanzo nilisema uhenda wamechakachuwa au kuna watu walijioganaiz wakajipigia kura kwa wingi na ivyo kuharibu maana ya mchakato mzima.

Tuzo za Tz nzima kwann utoe kwenye blog yako tu?? Kwani watz wote tunapenda udaku wa bongo 5 au tuna access majarida yao, kama walitaka ziwe na hadhi ya kitaifa basi wangeitangaza kwenye vyombo vya habari kama ilivyo ktma au tuzo za mwanaspoti bora au za mwandishi bora za cnn na si hiyo blog tu ndo wadai zinetangazwa. Hao wasomaji ndo walewale walio chajichagua.

Cc Ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:
Planet bongo ile ya salama ndo ilikua yenyewe, boarding tulikua tunaangalia jumamosi yale marudio.huyu dulah ameshndwa kuvaa viatu vya salama j.
 
Huo ndo utabiri wangu ambao nina uhakika nao kwa 90%
 
Kweli kwenye category ya wasanii wa maigizo wameshindwa kuelewa kuwa kuna vichwa Siri Ya Mtungi vyenye uwezo mara 1,000 kuzidi huu uchafu wa Lulu & co?

Hizi tunzo bana! Ni uchafu mwingine tu
 
Mkuu ndio maana nimeleta hapa tujadili uhalisia wake kama kweli una hakisi tunzo za kitaifa. Na lienda baada ya kubahati kumsikia Millard akisema nawao wame kumbukwa safari hii kwa kuandaliwa tunzo.
 
Last edited by a moderator:
Mi ht hyo choice siijui na wala sijawahi kusikia Vanessa Mdee anaptangaza,hyo clouds tv hainibariki hata kidogo.
 
HAPO KWENYE KIPI
NDI CHA TV KINACHOPENDWA hiyo take one waitoe
kwa dar tu hakina mashabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…