Tuzo zilizoandaliwa na Bongo5 Media

Hata mimi nimeshangaa sana kama wewe

Kinachokushangaza ni kipi mkuu?

Tatizo la hizi redio mnazozipigia debe zimebweteka hawajiongezi hataaa wakati everyday and then redio mpya zinaibuka na wanaxplore tricks za kila aina za kuburudisha besides burudani ya mwaka wa 70 sio burudani ya mwaka 2014
 
Seems auko serious na reality unataka league na ushabiki usio na msingi kwa hii thread. Hayo unayosema yangekuwa hivyo unavyotaka iwe basi wenyewe wangesema tuzo zao ni zakishua.. Ila hawakuwa na maana hiyo na hawawezi kutamka kama unayo yasema hapa.
 
Hahahaha hapo kwa Vannesa kwakweli wame chemsha.

Na Vanesa ni kwa sababu ni star wa muziki....ila na hao walioorodheshwa naye kama huyo Mariam na Ergon sijui ni wangapi wamewahi kuwasikia.

Na kwa kuwa tupo ulimwengu wa digital nadhani ni rahisi kufahamu ni televisheni gani na kipindi gani kinatazamwa na wengi.

Ni bora wangeziita hizi tuzo za maudhi kwa wasikilizaji na watazamaji.
 
Jahazi la clouds fm, mitikisiko ya pwani ya Dida, Super Mix ya Zembwela naunga mkono hoja

hivi times fm ina sikika hata moshi? mwisho wake si dar na pwani
 
Seems auko serious na reality unataka league na ushabiki usio na msingi kwa hii thread. Hayo unayosema yangekuwa hivyo unavyotaka iwe basi wenyewe wangesema tuzo zao ni zakishua.. Ila hawakuwa na maana hiyo na hawawezi kutamka kama unayo yasema hapa.

The problem with you dear ni kuwa you want to be 'Always Riight'......'Know It All' 'Been There Done That'........Sikuwa nataka league and i was just spicin' up my day in my own way.......sasa Wewe na kuniquote mwana wa mwenzio kuwa nina ushabiki usio wa msingi...wapi na wapi?....kwani ni lazima nikandie na mie?.......Honey,sio kila mtazamo wako ni sahihi kwa mwingine,,,,you,of all people....should know better....NO HARD FEELINGS...Tho'
 
We ndio umejibu kimashauzi as if hao walio hoji they are too local na kujifanya wasomaji wa bongo five ndio wakishua zaidi ama???? Kwani uongo hizo tuzo hazina uhalisia kwa utanzania radio inaishia magomeni mapipa unataka kutudanganya watz wa Kigoma waliipigia kura??? Ndio kusema hao wote walio hoji uhalisia wa hizo tuzo ndio wanajiona wako right maana kila mtu kaponda sio mm tu.
 
Mkuu naomba unisaidie
Maria Kitosi ni mtangazaji wa Times Fm!
Hivi Times Fm inasikika mikoa gani ukitoa Dar na Pwani?
 
Mkuu ni lini wananchi tulipewa nafasi ya kupiga kura?na mchakato wa wananchi kupendekeza washindani ulifanyika lini kama wanavyo sema?
Ulisikia lini?
 
Mkuu naomba unisaidie
Maria Kitosi ni mtangazaji wa Times Fm!
Hivi Times Fm inasikika mikoa gani ukitoa Dar na Pwani?

Mi mwenyewe simfahamu....Ruta hizi tunzo si 'official' kama tunavyotaka ziwe..zina wenyewe....Maamuzi yao,Tunzo zao....usizichukulie serious kiviiike....ukikamata fursa...anzisha zitakazokidhi vigezo.
 
Well said
 
Hee we vipi! Akili ndogo kwelikweli badilisheni jna la Tunzo ndipo mjipigie kura! Gud enough waTz wa sasa weng wana akili sana na ni wapembuz wa mambo kwa kna
 
Bora umetusaidia kazd ushabk vitumbua uyo, kujitia wa kishua, my foot! Issue hapa ni badilisheni jna la tunzo cio mjishaue kama chup za mtumba zilizokosa lastiki! Mxuuuuuuu
 
Bora umetusaidia kazd ushabk vitumbua uyo, kujitia wa kishua, my foot! Issue hapa ni badilisheni jna la tunzo cio mjishaue kama chup za mtumba zilizokosa lastiki! Mxuuuuuuu

hiiiiihiiiii....JF is a place to be......huuuuhuuuuuu...
 
Bora umetusaidia kazd ushabk vitumbua uyo, kujitia wa kishua, my foot! Issue hapa ni badilisheni jna la tunzo cio mjishaue kama chup za mtumba zilizokosa lastiki! Mxuuuuuuu

Thats my point kama anasema hizo tuzo sio local na ni zawatu flani (anavyo dai ingawa waandaaji hawadai hivyo na hawakuwa na lengo hilo), kwanini.wasiseme hizi tuzo ni za watu flani tu tena wanaosoma bongofive.

Na imani Bongofive lengo lao ni kuwa tuzo za watanzania ingawa wamebugi some category na kuwakosoa sio mbaya, hata kili awards wanarekebisha makosa yao wakikosolewa...
 
Hee we vipi! Akili ndogo kwelikweli badilisheni jna la Tunzo ndipo mjipigie kura! Gud enough waTz wa sasa weng wana akili sana na ni wapembuz wa mambo kwa kna

Well said Mr.Mpembuz...hiiiiihiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…