Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
π sikumbuki ni lini, ila ni kitambo sana@dosho12 - lini umelia mara ya mwisho na nini kilikuliza?
Itakua sababu naandika kutoka moyoni bila kujali mtu mwingine atanionaje, sijilizi hovyo hovyo π na sina tabia za kichawa!Binti wa zamani kwanini mada zako zinasepa na kijiji kuliko mada za mzee wa bubujiko? πππ
Sijui mwenzakoAunt π unajua nakupenda?
Jibu limenikosha, next drink on my tab tafadhali!Nakunywa pombe kwa sababu ya kuburudika tu nasio kwa sababu ya ukosefu wa pesa , hivyo hata ukinipa pesa bila masharti yoyote sitapokea ,kwa sababu sina shida ya pesa ya bure pasipo kufanya kazi yoyote .
Nina swali, I'd yako ni ya 2011 ila kwenye hii I'd nimekuona majuzi tu hapa , je mda wote ulikua nnje ya jf au kwenye parody jingine , hayanihusu ila kama ulivyodai ni swali la kizushi tu.Jibu limenikosha, next drink on my tab tafadhali!
Unarelease vipi negative emotions zako?π sikumbuki ni lini, ila ni kitambo sana
Itoe pombe hapo bwasheenyie wadada wa JF kwanini hamnitaki wakati sinywi pombe, sivuti sigara?
au kwa vile sina kazi?
Umejiuliza na umejijibu mwenyewe.nyie wadada wa JF kwanini hamnitaki wakati sinywi pombe, sivuti sigara?
au kwa vile sina kazi?
natafuta ID yako ya zamani kwanza..ππUmejiuliza na umejijibu mwenyewe.
Hebu uliza swali jingine!
Nina swali, I'd yako ni ya 2011 ila kwenye hii I'd nimekuona majuzi tu hapa , je mda wote ulikua nnje ya jf au kwenye parody jingine , hayanihusu ila kama ulivyodai ni swali la kizushi tu.