Kumekuwepo na visa vingi vya watu kujiua kutokana na wivu wa mapenzi.Hili huwa linaniuma sana hasa inapotokea mwanamke amejiua kwa sababu mume amechepuka
Kwanza tujue chanzo nini nini mwanaume kuchepuka kwanza kabisa ijulikana kuwa wanaume ni wadhaifu sana kwa wanawake.Kwa asili mwanaume ana tamaa za karibu sana.mwanaume kuwaka tamaa ni kitendo cha sekunde moja tu ikiwa mwanaume ataona umbo au sehemu yoyote ya mwanamke inayoweza kumtamanisha mfano makalio makubwa,matiti,mapaja.mwanaume anaitaji kuona na siyo kusikia .Hivyo shida ya wanaume ni macho.
Mfalme Daudi aliponzwa na macho yake baada ya kumuona mke wa Uria akiwa anaoga .Ndiyo maana makanisa mengi na misikitini yanasisitiza wanawake kuvaa nguo za kustili miili ili wasioneshe sehemu za miili yao inayoweza kuwasababisha wanaume kuwaka tamaa.Tofauti kabisa na wanawake ,wao tamaa ziko kwenye masikio ,kushikwa au zawadi.ukitaka kumnasa mwanamke mwambie maneno mazuri ya kumsifia ,mshike sehemu fulani za mwili wake au mletee zawadi.
Mwanaume hawezi kukaa zaidi ya wiki mbili bila kufanya mapenzi labda awe na kizuizi mfano sheria na amri za Mungu ,awe na maadili mema au kujilinda. Kwa asili mke mmoja hatosherezi kwa mwanaume labda mwanaume huyo awe na sheria au amri za Mungu zinazomkaza kuacha uzinzi etc hii nikutoka na biologia namna walivyoumbwa.Yani mwanaume ni Dume la mbegu.
Shida nyengine ya wanaume ni kwamba hawana upendo wa dhati unaoweza kumzuia asichepuke.Ndiyo maana Kwenye Biblia,Mungu ametoa amri kuwa .......wapendeni wake zenu." ina maana hapa Mungu aliona kuwa wanaume hawana upendo kwa wake zao.Moyo wa mwanaume una vyumba vingi vya ku accomodate wake wengi.Moyo wa mwamke una chumba kimoja cha kumweka ndani mwanaume mmoja tu.Ukisikia mke au mpenzi wako kafanya mapenzi na mume mwengine kwa maana ya mapenzi ,jua kabisa wewe kashakutoa kwenye chumba cha moyo wake.ndiyo maana Hata Yesu ( Issa bin Mariam ) aliruhusu kumpa taraka mwanamke wa namna hii.
Shida nyengine ni kuwa mwanaume hana uwezo wa kukumbuka kuwa mke wake ni mzuri kukiko wanawake wengine anaokutana nao mitani kwa wakati huo.Yani kinachopita mbele yake kwa wakati huo ndicho anakiona ni bora zaidi.Kwamba anaweza kuvuta sura ya mke wake akiwa mbali naye na hili hii ikamletea kumtamani ,hili haliwezekani kabisaa.Ni mpaka atakaporudi nyumbani akamuona mkewe .Hii ni shida sana kwa wenye ndoa au waliyoko kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Sasa nitoe ushauri ufuatao
1.Kama umehisi mumeo ana michepuko ,hilo lisikupe shida ndiyo asili yawanaume
2.Kama ana michepuko na hajakuoa nakishauri uachane naye mapema kabisa ikiwa hutaweza kuvumilia ndoa ya wake wengi
3.Kama umeolewa ,na mume anapenda michepuko lakini hakupigi ,anakutunza wewe na watoto wako nakushauri uone kuwa ni kawaida ya wanaume kuwa na michepuko maana mke mmoja hatoshi kwa mwanaume asiyekuwa na sheria za Mungu moyoni mwake.Kama uwezi kuvumilia ,acha kuwa na maamzi ya kufanya mabaya mpaka kujiua.
Unajiua kwa sababu ya mwanaume kuchepuka au kukuacha? hapana usifanye hivyo.Daima jua kuwa wanaume ni wadhaifu sana kwa wanawake.Hawana Imani ya kumzidi mfalme Daudi aliyezini na mke wa Uria.
Mwanaume Linda moyo wako,linda macho yako ,mche mola wako ,mpende mke wako .jali familia yako!!!