Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Hello guys!
Kama vijana naamini kila mtu ana ndoto na mikakati yake. Lakini wakati mwingine kwa nchi zetu hzi yaweza kuwa unajikuta imekuwa ngumu kuzifikia. Mbaya zaidi kila unapozifukuza huoni dalili ya kuzifikia.
Unajituma vyema tu kwa bidii na akili lakini bado hali inakuwa tete. Inakatisha tamaa sana. kuna muda unakosa hata mudi ya kazi, waweza jikuta hata kwenye shughuli zako upoupo tu maana huoni kama zitakutoa.
Unaweza jikuta una maswali mengi yasiyo na majibu.
Labda sina bahati?
Au kuna mahali nilizembea?
Au bado sijafikiri vya kutosha?
Au nimeandikiwa kukosa mimi nitabaki wa hivihivi?