Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hii sio Kwa matajiri au maskini. Karibia ipo sehemu zote vijijini na mjini.
Unakuta Kuna vyombo eti wametunziwa wageni!!
Mbaya zaidi wageni hao wakija watakula vizuri kuliko wenyeji.
Kama itachinjwa kuku basi kuku ataishia Kwa wageni na. Ninyi wenyeji mtaambuia miguu na shingo!!
Shida kubwa nipale wageni wataenda kula na mtu mmoja mwenyeji na mliobaki si Hana mkaishia kula dagaa kuku akiwa na wageni.
Hata ikitokea umechinja mbuzi ni sawa lkn rosti za maini nk zitapelekwa kwa wageni!!
Wewe dada uliyeolewa unashindwa kumpa kipaumbele kumtengea kwenye vyombo vyipya vizuri wewe unawatunzia wageni?
Nani wa muhimu kati ya wageni na Mme wako ama familia yako?
Mimi kwangu Niko tofauti kidogo wee njoo tu tutakula wote kwenye meza Moja ushibe au usishibe ukaniseme huko utajua mwenyewe.
Hii ya kuwafanya Watoto wajisikie kama wametengwa kwenye msosi kisa mgeni hapana Kwakweli.
Mdau hii kwako imekaaje?