Tuzungumze kifamilia:- Kwanini wageni uwape kipaumbele kuliko familia yako?

Tuzungumze kifamilia:- Kwanini wageni uwape kipaumbele kuliko familia yako?

Sidhani kama Kuna vyombo vya wageni Ila mazoea yetu ndo yanapelekea vyombo kutunzwa na kutumika inapobidi

Unakuta watoto au baba akishika glass anadondosha Tena ni ile frequently unafikiri wamama wanapenda kuona vyombo vyao vinaharibika ?

Nyumbn tuna vikombe, sahani za udongo zina 25yrs na zinatumika Ila sio mara kwa mara japo baada ya kuanza kukua ndo tukawa tunatumia
Familia nyingi sana vina vyombo vya wageni
 
Familia lisilojua kukirimu wageni ni familia la hovyo hovyo! Hii ni tangu enzi za mabavu iko hivyo! Kuiga uzungu ndiko kunawaharibu!
kukarimu wageni sijapinga ninacho kikataa hapa ni ile hali ya watoto au wanafamilia kutengwa wageni wanakuwa kivyao vyao wanakula na kusaza huku ninyi wana familia mnagombania miguu ya kuku. Hii hapana
 
Back
Top Bottom