Tuzungumze kifamilia:- Kwanini wageni uwape kipaumbele kuliko familia yako?

Familia nyingi sana vina vyombo vya wageni
 
Familia lisilojua kukirimu wageni ni familia la hovyo hovyo! Hii ni tangu enzi za mabavu iko hivyo! Kuiga uzungu ndiko kunawaharibu!
kukarimu wageni sijapinga ninacho kikataa hapa ni ile hali ya watoto au wanafamilia kutengwa wageni wanakuwa kivyao vyao wanakula na kusaza huku ninyi wana familia mnagombania miguu ya kuku. Hii hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…