Tuzungumze kuhusu ramani ya nyumba ndogo ya kuishi

Joined
Sep 1, 2024
Posts
37
Reaction score
173
Ghawizah,

Naomba msaada kwa yeyeto mwenye kuchora ramani anichoree ramani yenye sifa zifuatazo.
♤ Iwe ya vyumba vitatu(kimoja masta sio selfu tu), sebule na dinning.
♤ Iwe na public toilet.
♤ Kweny masta kuwe na nafasi ya kitanda ,kabati la nguo .
♤ Dinning iwe na uwezo wa kukaa meza ya chakula na viti vinne .
♤ Jiko stoo na choo cha nje vitajengwa pembenì ya kiwanja.
♤ Angle ya paa iww nzuri isichongoke kama watu wa katoro.
♤ Madirisha yawe ya kawaida isipokua sebuleni yawe makubwa zaidi.
♤ Mtu akiwa sebuleni asimuone anayeingia kwenye masta room au publc toilet.


NB: malipo yapo ya kishkaji kama kupeana pole.

Ukiogopa kutoa ramani bure toa ground plan nikiridhia sawa.

Comments
 
Yoo kiongoz habari yako,, nmeiona concern yako and I think, I can do something

Anyway nikipata muda wa ziada nitakuandalia.
 
Mcheki Hechy Essy
 
Nicheki 0757552515 kwa Ramani hio unayoitaka ila sample ni kama hizi zote zinasifa ulizotaja
 

Attachments

  • 1B.jpg
    2.1 MB · Views: 24
  • 3B.jpg
    2.2 MB · Views: 22
  • 1C.jpg
    2.4 MB · Views: 30
  • PSX_20230418_200018.jpg
    340.3 KB · Views: 25
  • 9.jpg
    1.7 MB · Views: 25
  • 3.jpg
    1.5 MB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…