Tuzungumze leo Watanzania na Waafrika kwa ujumla

wazanaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
1,085
Reaction score
809
Wakuu wakuu wakuu. Aisee mambo yanaenda wakuu. Kuna mengi ya kujadili ila muda mchache. Natumaini kila mtu ana pambana na shughuli zake za kila siku.

Leo wakuu nimeamua tu tuongee kuhusu Maisha ya Tanzania na Afrika in general kwa maana ya kwamba Afrika tulikua wapi, tulipitia nn katika kipindi gani, tupo wapi kwa sasa na tunaelekea wapi.

Tuanze na tulipotoka

Wakuu tulipotoka ni mbali sana, tulipotoka ni kabla hata mzungu hajakanyaga Ardhi ya Afrika, tulichokiishi katika hicho kipindi hatukijui au kimefifia sana. Kwa sababu hata historia yetu imefichika sana, ila tamaduni zilizo survive mpaka leo ndo zinaweza kutuonesha tuliishi vipi.

Hata hivo waliotutawala ndio walioandika historia yetu, lakini pia hatuwezi kumuhukumu mtu mweusi kwamba ni mzembe au hana akili kwa sababu hatujui kilichotokea mpaka tukatawaliwa, so hatutakiwi tuhukumu sana kwenye tunachokiona kabla ya kujua kilichotokea, so nisingependa tujidharau kuhusu uwepo wetu na tulichokipitia(utumwa).

Nitatoa mfano mmoja mzuri sana. Kwa mfano, ukiwa na Rafiki yako mnaishi naye nyumba moja, ukawa unamuheshimu na kumpenda, ikatokea Rafiki yako ni mnafiki na hakupendi ila hakwambii, lakini siku moja mkawa mnakula, ukatoka ukaenda chooni, akatumia nafasi ile kukuwekea sumu kwenye chakula, ulipokula ukaanza kuishiwa nguvu, ulipojaribu kuamka na kupigana akazidi kuweka sumu na kukutumia, process ikaendele ampaka leo. Tunaona kuna viongozi wazuri wanaojaribu kuipigania afrika lakini kuna viongozi wabaya ambao bado ni effect ya sumu kutoka kwa mkoloni wanazidi kuturudisha nyuma.

Pia tulipotoka kuna mengi mazuri kuhusu Afrika tumefichwa. Cha msingi ni kukubali tumelishwa sumu kwa sababu roho yetu nzuri ilituponza, mbabiloni hakuzidi akili anakuzidi kutokua na huruma.

Tulipo
Aisee tulipo wakuu nafikiri bado stori ya sumu haijatuacha, kuna kazi kubwa bado tunayo, lakini alie tulisha sumu ana speed kali na anaendelea kua na mbinu nyingi za kuendelea kutufanya tubaki kwenye sumu, tatizo lenye nature kama hii linatakiwa utashi wa hali ya juu kulitatua.

Itaendelea wakuu kwenye tunapoelekea. Leo ilikua ni vistori tu vya kujikumbusha
 
nimejikuta nasoma haraka haraka kutokana na ulivyoanza "wakuu wakuu"
 
usiwe na wasiwasi stori itaendelea. cha msingi tujaribu kutafakari kwanza kilichopo
 
Unaposoma hii kitu unahitaji kusoma polepole na uyatafakari yaliomo kwa kina, hasa kuhusu "sumu"
 
Sumu ya mwafrika ni mwafrika mwenyewe, adui tunae tunakaa nae na anajifanya mwema sana. Waarabu hawakuwinda watumwa bali walikabidhiwa na machifu ili machifu wapate nguo, bunduki, vyombo nk.Zaidi ya miaka 1000 tumehujumiwa na ndugu zetu wenyewe.

Dola kama misri, Nubia, mali, kush nk zisinge anguka bila ushiriki wa mt? mwafria/mweusi.Mpaka leo mwafrika anamuangusha muafrika mwenzake haiitaji elimu ya chuo kikuu.

Bado hata tukisema wageni wametudhulumu,swali mbona hata China,korea walidhulumiwa sana na wakoloni lakini baada ya uhuru lek wanafurahia matunda ya uhuru, Afrika kuna nini kinachoendelea.
 
kwa kifupi ni kwamba tuko kwenye giza na tunatambua ila tunasubiri mtu atuzindue.,. wapo waliojaribu kutoka kwenye giza hilo wengi wao huonekana wachawi, machizi au hawana akili.
 
Je wajua kama waafrika tulikua hatuna utamaduni wa roho mbaya. Kwa maana waafrika walikua wanatabia ya kumuona mgeni kama rafiki. Wakati wazungu na race nyingine walikua na utamaduni wa kuona race nyingine kama adui. So sisi tulikua watu wa kukaribisha sana na kuheshimu binadamu yeyote alie nje ya jamii yetu na ndicho kilicho tugharimu hadi leo. Ukitaka kuona mfano angalia leo mzungu au mchina au muarabu anavokuja afrika anaheshimiwa sana kuliko muafrika anavoenda kwao. Muafrika ukienda kwenye hizi nchi kubwa hupewi heshima wala hutamiliki chochote mpaka unakufa. Lakini ona wao
Sumu ya mwafrika ni mwafrika mwenyewe, adui tunae tunakaa nae na anajifanya mwema sana. Waarabu hawakuwinda watumwa bali walikabidhiwa na machifu ili machifu wapate nguo, bunduki, vyombo nk.Zaidi ya miaka 1000 tumehujumiwa na ndugu zetu wenyewe.

Dola kama misri, Nubia, mali, kush nk zisinge anguka bila ushiriki wa mt? mwafria/mweusi.Mpaka leo mwafrika anamuangusha muafrika mwenzake haiitaji elimu ya chuo kikuu.

Bado hata tukisema wageni wametudhulumu,swali mbona hata China,korea walidhulumiwa sana na wakoloni lakini baada ya uhuru lek wanafurahia matunda ya uhuru, Afrika kuna nini kinachoendelea.
 
Wakuu mbona watanzania tunakimbia topic zenye tija. Watu hawapo kabisa huku. Ila ningeweka post laini laini kama za kuongelea tuupumbavu. Watu wangejaa kweli
Je wajua kama waafrika tulikua hatuna utamaduni wa roho mbaya. Kwa maana waafrika walikua wanatabia ya kumuona mgeni kama rafiki. Wakati wazungu na race nyingine walikua na utamaduni wa kuona race nyingine kama adui. So sisi tulikua watu wa kukaribisha sana na kuheshimu binadamu yeyote alie nje ya jamii yetu na ndicho kilicho tugharimu hadi leo. Ukitaka kuona mfano angalia leo mzungu au mchina au muarabu anavokuja afrika anaheshimiwa sana kuliko muafrika anavoenda kwao. Muafrika ukienda kwenye hizi nchi kubwa hupewi heshima wala hutamiliki chochote mpaka unakufa. Lakini ona wao
 
Wakuu wakuu wakuu. Aisee mambo yanaenda wakuu. Kuna mengi ya kujadili ila muda mchache. Natumaini kila mtu ana pambana na shughuli zake za kila siku.

Leo wakuu nimeamua tu tuongee kuhusu Maisha ya Tanzania na Afrika in general kwa maana ya kwamba Afrika tulikua wapi, tulipitia nn katika kipindi gani, tupo wapi kwa sasa na tunaelekea wapi.

Tuanze na tulipotoka

Wakuu tulipotoka ni mbali sana, tulipotoka ni kabla hata mzungu hajakanyaga Ardhi ya Afrika, tulichokiishi katika hicho kipindi hatukijui au kimefifia sana. Kwa sababu hata historia yetu imefichika sana, ila tamaduni zilizo survive mpaka leo ndo zinaweza kutuonesha tuliishi vipi.

Hata hivo waliotutawala ndio walioandika historia yetu, lakini pia hatuwezi kumuhukumu mtu mweusi kwamba ni mzembe au hana akili kwa sababu hatujui kilichotokea mpaka tukatawaliwa, so hatutakiwi tuhukumu sana kwenye tunachokiona kabla ya kujua kilichotokea, so nisingependa tujidharau kuhusu uwepo wetu na tulichokipitia(utumwa).

Nitatoa mfano mmoja mzuri sana. Kwa mfano, ukiwa na Rafiki yako mnaishi naye nyumba moja, ukawa unamuheshimu na kumpenda, ikatokea Rafiki yako ni mnafiki na hakupendi ila hakwambii, lakini siku moja mkawa mnakula, ukatoka ukaenda chooni, akatumia nafasi ile kukuwekea sumu kwenye chakula, ulipokula ukaanza kuishiwa nguvu, ulipojaribu kuamka na kupigana akazidi kuweka sumu na kukutumia, process ikaendele ampaka leo. Tunaona kuna viongozi wazuri wanaojaribu kuipigania Afrika lakini kuna viongozi wabaya ambao bado ni effect ya sumu kutoka kwa mkoloni wanazidi kuturudisha nyuma.

Back
Top Bottom