Umelewa nini!!?..wapi nimekulazimisha uamini ninachokiamini!!?..contact sport sawa,lakini sheria za nini!?..au ulitaka uandike halafu wengine tusome tu na kukuoa like!!!?..hapa si mahali pa namna hyo,vitabu tunasoma wote ndiyo,kila mtu anakua na mtazamo wake ..sawa..ila mwisho wa siku kila mtu anakua na alama/marks zake..mmoja anakua katika mrengo sahihi wakati mwingine ni arijojoyani nauliza ulitaka niandike nini maana nilichoandika mimi wewe umesema nimeandika pumba sijui ujinga ndo nakuuliza ulitakaje sasa??
ngoja nikuambie kitu mkuu, mpira ni kama vile vitabu tunavyosoma darasani kama Ngoswe, Takadini, Three Suitors One Husband, Pass Like A Shadow and all stuffs like that na siku ya mtihani kila mtu atakuwa na jibu lake tho kitabu mlisoma pamoja.
same to mpira wote tumeangalia kwa pamoja tukio tumeangalia kwa pamoja mimi nimeona nilichopresent hapa wewe pia umeona ulichoona tho hujakiwakilisha.
ubaya zaidi unataka kunilazimisha kile unachoamini wewe na mimi niamini hicho hicho na hapo ndio unapokosea.
NARUDIA TENA FOOTBALL IT'S ALL ABOUT PHYSICAL CONTACT
uje na hoja usije kama mlevi unakosoa bila kuja na hoja....hoja upingwa kwa hoja.
Get Well Soon Salah
ExactlyUshabiki wa kindaki ndaki mbaya
Mchezo wa mpira una mambo mengi sana
Unapoingia uwanjan unatakiwa uwe makin sababu unaingia sehem ya vita lolote laweza tokea
Swala la salaah kuumia kwangu naona kama ni swala la technic za mpira ukizingatia ramos ni bek
Salaah angefanikiwa kumpita ramos leo hapa usinge andika ichi ulicho andika yawezekana ungetukana matus mengi zaid
Ila napenda nikwambia mtoto hata akiwa mkubwa hawez lingana na baba yake
Mkuu, achana na mabeki kama akina Ramos. Wale watu wanajua kupambana na washambuliaji wasumbufu kiakili, kimbinu na kimwili.Yaan Salah aliacha kufunga kisa fainali na akaumia mapema hata ivyo ile faulo ilikuwa ya bahati mbaya Sio makusudi
Ramos muhuni sana kuna moja nimeona alimpiga ngumi ya kichwa kipa refa hakuiona kabsaMkuu, achana na mabeki kama akina Ramos. Wale watu wanajua kupambana na washambuliaji wasumbufu kiakili, kimbinu na kimwili.
Ha ha ha ha ha ha pia refa hakuiona, mimi namfahamu Ramos muda sana. Yule jamaa huwa anajua kupambana mbali na mbinu za kimchezo. Akiamua kukutoa mchezoni anakutoa kirahisi tu.Ramos muhuni sana kuna moja nimeona alimpiga ngumi ya kichwa kipa refa hakuiona kabsa
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
ulivyosema nimeandika ujinga kwa maana wewe ndiyo ulikuwa sahihi kwamba ulikuwa unanisahihisha huoni kama ulikuwa unaniweka kwenye mawazo yako??Umelewa nini!!?..wapi nimekulazimisha uamini ninachokiamini!!?..contact sport sawa,lakini sheria za nini!?..au ulitaka uandike halafu wengine tusome tu na kukuoa like!!!?..hapa si mahali pa namna hyo,vitabu tunasoma wote ndiyo,kila mtu anakua na mtazamo wake ..sawa..ila mwisho wa siku kila mtu anakua na alama/marks zake..mmoja anakua katika mrengo sahihi wakati mwingine ni arijojo
Halafu binaadam laini kama Salah anamzuia kwa mkono huku kanyoosha vidole kitaarabu.Kwenye mchezo huo kule Spain anaitwa "THE BEAST"
Nyoso mpiga ndoleThat is what we call "Professionalism" siyo "Nyosso yule wa TZ.
Wakati unapiga ramli hapa jf mwenzako yuko anasherekea kombe...alichofanya ni unyama! ilitakiwa iwe final nzuri ..imejeuka kua final ya ovyo ovyo tu kwa kitendo kile tu sizungumzii ushabiki nazungumza kama mpenzi wa mpira na mpenzi wa fair play kwenye mpira ...mashabiki ndo wanaongea ovyo na ndio wanaoona ni kitu cha kawaida ...kujaribu kumvunja mtu bega ili tu ufanikiwe lengo lako kwenye mpira ni unyama
Meza panadol mkuuSi kweli kwamba haikuwa faulo. Kilichotokea ni kwamba Refa hakuona. Pia si kwamba Salah ndiyo aliingiza mkono kwa Ramosi. Hata kama ni kweli kwamba Salah ndiyo alianza kuingiza mkono kwa Ramos kwanini aliung'ang'nia mkono wa Salah hadi chini wanabilingika bado kaubana kabali tu!!!!
Kifupi, kama ningekuwa Kiev Jana Ramos nilikuwa navunja miguu kwa Bastola tu, Kenchtype...Dadeeeek!!!!
Maumivu ya kichwa huanza taratibuRamos alifanya makusudi kinachoshangaza mwamuzi alikuwa karibu lakini hakujali.Ile ni tabia ya Ramos,ana mambo ya kihuni ,alifanya hivyo baada ya kuona hali ni mbaya kwao.