Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Mwamuzi Caynet cakiri aliwahi kumzawadia red card Luis Nani kwa kumchezea rafu ya kipumbavu hivyo Alvaro albeloa kwenye robo fainali kati ya madridi na Man U old Trafford .
Nani alinyanyua mguu kupokea mpira Albeloa akiingia mzima mzima baada ya contact ya mguu wa Nani na Tumbo la Albeloa Nani aliongeza force kwenye mguu kusukuma badala ya kupokea mpira tu.
Refa alitoa red card.
Yawezekana kabisa wakati wanalock arms hakua na intention to injure lakini baada ya kumuona salah yuko kwenye dangerous position Ramos akatumia advatage hiyo hivyo ana intention to injure ikawa formulate in his mind