Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Kama kuna jambo lililoumiza wapenzi wa mpira wasio washabiki wa mpira, ni kitendo cha Ramos kufanya niseme dirty game au faulo mbaya ambayo alimfanyia Mo Salah

Binafsi pia nilijiskia vibaya, ila sasa tuzungumzie kwamba wengine wanasema bahati mbaya, wengine wanasema alidhamiria na wengine wanasema ilikua ni game plan baada ya kuona wanashambuliwa kwa dakika nyingi za mwanzoni kabla ya yeye kuumizwa na kutoka.

Sasa kwa taarifa zilizopo ni kwamba ameumia sana kwenye mifupa ya bega na huenda akakosa michuano ya kombe la dunia,

Tukiacha ushabiki, hivi ile haikua makusudi kweli? Kwanini aliung'ang'ania mkono hadi kwenda chini. ?

Huko kwenye akaunti yake ya instagram anatukanwa sana ila jamaa anachekelea tu, nafikiri angetumia fursa hii kutoa neno la kuomba radhi, ila wanasema hii sio mara ya kwanza kufanya hivyo kwa wachezaji hasa katika mechi za fainali.
 
Ushabiki wa kindaki ndaki mbaya

Mchezo wa mpira una mambo mengi sana

Unapoingia uwanjan unatakiwa uwe makin sababu unaingia sehem ya vita lolote laweza tokea

Swala la salaah kuumia kwangu naona kama ni swala la technic za mpira ukizingatia ramos ni bek

Salaah angefanikiwa kumpita ramos leo hapa usinge andika ichi ulicho andika yawezekana ungetukana matus mengi zaid

Ila napenda nikwambia mtoto hata akiwa mkubwa hawez lingana na baba yake
 
Acha watukane, yeye ana ndoo nne za UCL.
 
kwanza hata haikuwa foul kama ulikuwa makini mpira uliendelea mpaka pale ulipotolewa nje.

Salah alianza kuingiza mkono kwa Ramos na kwakutumia uzoefu Ramos alitake advantage.

yale mambo kwenye mpira ni ya kawaida sana, rejea 2016 ktk fainali ya EURO Ronaldo alichezewa rafu na Payet na ilikuwa kama vile alitolewa na walibeba ndoo.

kufungwa kwa Liverpool hakuhusiani kutoka kwa Salah japo alitoka lakini Liverpool walipata goli mimi nasema walifeli ktk mbinu na ubovu wa kipa wao, so kutoka kwake isiwe excuse hapa.

FOOTBALL IT'S ALL ABOUT PHYSICAL CONTACT

Get Well Soon Salah
 
Ushabiki wa kindaki ndaki mbaya

Mchezo wa mpira una mambo mengi sana

Unapoingia uwanjan unatakiwa uwe makin sababu unaingia sehem ya vita lolote laweza tokea

Swala la salaah kuumia kwangu naona kama ni swala la technic za mpira ukizingatia ramos ni bek

Salaah angefanikiwa kumpita ramos leo hapa usinge andika ichi ulicho andika yawezekana ungetukana matus mengi zaid

Ila napenda nikwambia mtoto hata akiwa mkubwa hawez lingana na baba yake
alichofanya ni unyama! ilitakiwa iwe final nzuri ..imejeuka kua final ya ovyo ovyo tu kwa kitendo kile tu sizungumzii ushabiki nazungumza kama mpenzi wa mpira na mpenzi wa fair play kwenye mpira ...mashabiki ndo wanaongea ovyo na ndio wanaoona ni kitu cha kawaida ...kujaribu kumvunja mtu bega ili tu ufanikiwe lengo lako kwenye mpira ni unyama
 
Most Red Carded Player in La Liga History,,,,

He is experienced,,,technically skilled ,,strong,,,

He Knew exactly what he was doing,,,,,

Remember,,,He is the Best Defender of all time,,,,
Well said mkuu, pia ikumbukwe Sergio Ramos ni kati ya majina makubwa kwenye mchezo wa kupigana na ng'ombe nchini hispania.
Hivyo wachezaji wanapaswa kuwa macho na waangalifu wanapo msogelea
 
alichofanya ni unyama! ilitakiwa iwe final nzuri ..imejeuka kua final ya ovyo ovyo tu kwa kitendo kile tu sizungumzii ushabiki nazungumza kama mpenzi wa mpira na mpenzi wa fair play kwenye mpira ...mashabiki ndo wanaongea ovyo na ndio wanaoona ni kitu cha kawaida ...kujaribu kumvunja mtu bega ili tu ufanikiwe lengo lako kwenye mpira ni unyama
Hizo ni mbinu za mpira wewe
 
Kama kuna jambo lililoumiza wapenzi wa mpira wasio washabiki wa mpira, ni kitendo cha Ramos kufanya niseme dirty game au faulo mbaya ambayo alimfanyia Mo Salah

Binafsi pia nilijiskia vibaya, ila sasa tuzungumzie kwamba wengine wanasema bahati mbaya, wengine wanasema alidhamiria na wengine wanasema ilikua ni game plan baada ya kuona wanashambuliwa kwa dakika nyingi za mwanzoni kabla ya yeye kuumizwa na kutoka.

Sasa kwa taarifa zilizopo ni kwamba ameumia sana kwenye mifupa ya bega na huenda akakosa michuano ya kombe la dunia,

Tukiacha ushabiki, hivi ile haikua makusudi kweli? Kwanini aliung'ang'ania mkono hadi kwenda chini. ?

Huko kwenye akaunti yake ya instagram anatukanwa sana ila jamaa anachekelea tu, nafikiri angetumia fursa hii kutoa neno la kuomba radhi, ila wanasema hii sio mara ya kwanza kufanya hivyo kwa wachezaji hasa katika mechi za fainali.
Ramosi mshenzi sana, ile alidhamiria kabisa. Kwa nini nasema hivyo?? Roughs nyingi ambazo amewahi kufanya huko nyuma ni mbaya na ndizo zinamhukumu kwamba alidhamiria.

Shenzi zake,,,,Ramos ni wakunyonga kichwa chini miguu juu....Dadeeki.
 
CHAMPIONS IN THE DRESSING ROOM.
SERGIO RAMOS, what a captain! What a chatacter!
 
Back
Top Bottom