Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

kwanza hata haikuwa foul kama ulikuwa makini mpira uliendelea mpaka pale ulipotolewa nje.

Salah alianza kuingiza mkono kwa Ramos na kwakutumia uzoefu Ramos alitake advantage.

yale mambo kwenye mpira ni ya kawaida sana, rejea 2016 ktk fainali ya EURO Ronaldo alichezewa rafu na Payet na ilikuwa kama vile alitolewa na walibeba ndoo.

kufungwa kwa Liverpool hakuhusiani kutoka kwa Salah japo alitoka lakini Liverpool walipata goli mimi nasema walifeli ktk mbinu na ubovu wa kipa wao, so kutoka kwake isiwe excuse hapa.

FOOTBALL IT'S ALL ABOUT PHYSICAL CONTACT

Get Well Soon Salah

Sema watu wengine wanapiga kelele tu.

Hakuna kitu cha ajabu Ramos amefanya hakijawahi kuwepo kwenye soka.

Kila mpenda mpira anaumia kuona mchezaji anapata majeraha uwanjani ila hili la Salah watu wanazidisha kulalamika wanasahau huo ndio mpira na walioangalia ile mechi wanaona kabisa Salah ndio alianza kuingiza mkono sasa sijui wanataka Salah asikabwe.

Salah sio mchezaji wa kwanza kuumia uwanjani.

Liver walizidiwa uwanjani hata ball possession wamezidiwa mbali sana sema wamepata kisingizio cha Karius na kuumia Salah.
 
Ramos alifanya makusudi kinachoshangaza mwamuzi alikuwa karibu lakini hakujali.Ile ni tabia ya Ramos,ana mambo ya kihuni ,alifanya hivyo baada ya kuona hali ni mbaya kwao.
Sasa hapo refa unamlaumu kwa lipi wakati wewe mwenyewe baada ya slow motion ndiyo ukagundua unacho kilalamikia. Sala mwenyewe hajui nini kilitokea, mwishowe mtaanza kumlaumu zidane kwa kumpanga au kutomtoa Ramos.
 
Kazi ya ramos ni defensing hivyo alichokifanya ni kumzuia adui that's all. Weather alifanya bahati mbaya au kusudi lakini alikuwa anafanya kazi yake.

•Technically
•Defensive
•Aggresive
•Stongest

Nadhan umejushajua Mo sarah alikutana na jitu la namna gani.
Jitu linacheza mieleka na ng'ombe dume, kichaa lililohasiwa halafu kanakuja kamtu kuingiza vimkono vyake.
Salah alitakiwa atambue kuwa anacheza na beki ya La Liga siyo EPL
 
Sema watu wengine wanapiga kelele tu.

Hakuna kitu cha ajabu Ramos amefanya hakijawahi kuwepo kwenye soka.

Kila mpenda mpira anaumia kuona mchezaji anapata majeraha uwanjani ila hili la Salah watu wanazidisha kulalamika wanasahau huo ndio mpira na walioangalia ile mechi wanaona kabisa Salah ndio alianza kuingiza mkono sasa sijui wanataka Salah asikabwe.

Salah sio mchezaji wa kwanza kuumia uwanjani.

Liver walizidiwa uwanjani hata ball possession wamezidiwa mbali sana sema wamepata kisingizio cha Karius na kuumia Salah.
Hata angempiga kichwa kisingekuwa kipya kwani Zidane alishampiga Materazi Kombe la dunia
 
Sasa hapo refa unamlaumu kwa lipi wakati wewe mwenyewe baada ya slow motion ndiyo ukagundua unacho kilalamikia. Sala mwenyewe hajui nini kilitokea, mwishowe mtaanza kumlaumu zidane kwa kumpanga au kutomtoa Ramos.
Ningekutukana lakini basi tuu,ina maana hujui kazi ya refa!
 
Mie nadhan wapenzi wa EPL hawajazoea rafu za ramos. Jamaa ndo zake hizo kule LA LIGA,ukiangalia yellow kadi ya mane utabaki unashangaa huyu ramos vipi
 
Jitu linacheza mieleka na ng'ombe dume, kichaa lililohasiwa halafu kanakuja kamtu kuingiza vimkono vyake.
Salah alitakiwa atambue kuwa anacheza na beki ya La Liga siyo EPL
Kabisa! Wanaolaani inabidi watambue s.ramos ni wazimu namna gani?

Na sio mala ya kwanza kwake. hiyo ni ajari ndogo sana.
 
Ushabiki wa kindaki ndaki mbaya

Mchezo wa mpira una mambo mengi sana

Unapoingia uwanjan unatakiwa uwe makin sababu unaingia sehem ya vita lolote laweza tokea

Swala la salaah kuumia kwangu naona kama ni swala la technic za mpira ukizingatia ramos ni bek

Salaah angefanikiwa kumpita ramos leo hapa usinge andika ichi ulicho andika yawezekana ungetukana matus mengi zaid

Ila napenda nikwambia mtoto hata akiwa mkubwa hawez lingana na baba yake
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Unajua watu jana walienda na matokeo yao mfukoni.
Mpira ni tacticts, sio kumbelezana, mnalalamika ramos kacheza rafu, yes , maybe but that the job... kodhoofisha timu pinzani .

Mlitaka ramos ampige busu salah?
Si shabikii alichokifanya ramos, but hizo ndio mbinu. Wkt mwingine ili kushinda, lazima tim au mchezaji aende mbali ya fairplay, acheze extra games...
 
hamna mbinu ya mpira inayoruhusu rafu ..hata makocha wa mtaani haezi mwelekeza beki kua acheze rafu
Ila wanaelekeza kumdhibiti mchezaji fulani wa timu pinzani. Ni mbinu maarufu
 
Leo humu naona COMBO ya mashabiki wa liver na barca.
sio hao tu...
tapatalk_1527415316084.jpeg
 
Mie nadhan wapenzi wa EPL hawajazoea rafu za ramos. Jamaa ndo zake hizo kule LA LIGA,ukiangalia yellow kadi ya mane utabaki unashangaa huyu ramos vipi
Mane na yy hajui technique za rafu, rafu gani ile...kufika tu na kumsukuma tena mbele ya refa
 
Mkuu tatizo lingne ni kwamba timu ya Liverpool imejengwa kwa kumzunguka mtu mmoja tu Salah na alivyotoka hakukua na kipya tena kwa Liverpool.
Hawajajifunza toka kwa tim nyingine ambazo baada ya main player wao kuondoka zimeyumba.
Baada ya salah kutoka, liverpool wamerud nyuma. Wamekosa confidence, so unaona timu nzima ilikuwa haina option B , iwapo salah ataumia
 
Kazi ya ramos ni defensing hivyo alichokifanya ni kumzuia adui that's all. Weather alifanya bahati mbaya au kusudi lakini alikuwa anafanya kazi yake.

•Technically
•Defensive
•Aggresive
•Stongest

Nadhan umejushajua Mo sarah alikutana na jitu la namna gani.
Ume fafanua vizuri. Watu wache kulialia. Football is war, ndio kilichotokea jana.
 
Ni ugeni wa ligi khbwa na presha ya mechi ilisababisha. Mane angeangalia ile gemu ya mwisho ya barca na madrid akamuiga messi kumlisha mitama ya kiufundi ramos bila refa kushtukia
Mane na yy hajui technique za rafu, rafu gani ile...kufika tu na kumsukuma tena mbele ya refa
 
unaweza kuniambia kwanini picha ya kwanza ramos kaung'ang'ania mkono hadi chini na akamaliza kwa kuulalia eti tu kwamba salah aliu lock mkono wake kwenye mkono wa ramos?!
Kumbuka wote walikuwa kwenye move , wanakimbia huku salah akijarib kumsukuma ramos, na ramos akijarib ku oppose.
Katika kusukumana unaona kabisa salah aliingiza mkono kwanza, na ye ramos sabab ana oppose, lengo ni kumtoa salah kwenye balance ili asiufikie mpira.
 
Back
Top Bottom