CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Niliwahi sema hapo nyuma kwamba Business location inatesa watu wengi balaa. yaani nazani boashara nyingi zinazo fungwa ssna location inachangia sana.
Location inahitaji hesabu kari sana tena mno sasa wengi wetu mtu akisha pata frem tu huyo kafungua yaani myu anacho angalia ni frame na sio location.
Unakuta mtu anaenda fungua Stationary sehemu ambayo hata shule hakuna na wala hakuna ubise wa maofisi hasa ya Umma sasa unashindwa kuelewa huyu alipiga hesabu gani?
Location ina factor zake za kuangalia.
Mfano; Purchasing power ya watu husika. Ok unafungua Min super market au duka la nguo kari mtaa fulani je huo mtaa life standard yao ikoje? Consumption culture yao ikoje?
Sasa tuje kwenye Share.
Kwamba Je huo uelekeo wako utakuwa na share kiasi gani? Unakuta mtaa line nzima imejaa Viduka vya nguo za watoto tena sasa wote aina moja.
Au hop location yako ni nzuri sawa ila Market share bi ndogo sana kwa sababu kuna utitiri wa Aina hizo za biashara.
Hapa ndo huwa hata Juju au Uchawi unatumikaga sana.
Hivyo unaweza kupata Location nzuri sana ila bado Market share ikakushinda na ukaondoka.
Make Kama eneo lina Aina nyingi mno za hiyo products basi inahitajika Strategy kari sana ya kuingia nayo hapo sokoni.
Location huwa inatufelisha sana na Market share pia.
Na Mbaya zaidi kitu kama Market Share ndo kabisaaa huwa hatukiangalii tunapo tafuta sehemu ya kusimika biashara zetu.
Angali Mifano ya Maduka kama Min supet Market, Migahawa, Maduka ya nguo, Hardware, Stationary na Maduka ya rejareja ya baadhi ya bidhaa.
Haya huwa yanafungwa sana na kikubwa sana huwa ni Location mtu kaingia Chaka