Tuzungumzie Business Location na Market share yake

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Niliwahi sema hapo nyuma kwamba Business location inatesa watu wengi balaa. yaani nazani boashara nyingi zinazo fungwa ssna location inachangia sana.

Location inahitaji hesabu kari sana tena mno sasa wengi wetu mtu akisha pata frem tu huyo kafungua yaani myu anacho angalia ni frame na sio location.

Unakuta mtu anaenda fungua Stationary sehemu ambayo hata shule hakuna na wala hakuna ubise wa maofisi hasa ya Umma sasa unashindwa kuelewa huyu alipiga hesabu gani?

Location ina factor zake za kuangalia.

Mfano; Purchasing power ya watu husika. Ok unafungua Min super market au duka la nguo kari mtaa fulani je huo mtaa life standard yao ikoje? Consumption culture yao ikoje?

Sasa tuje kwenye Share.

Kwamba Je huo uelekeo wako utakuwa na share kiasi gani? Unakuta mtaa line nzima imejaa Viduka vya nguo za watoto tena sasa wote aina moja.

Au hop location yako ni nzuri sawa ila Market share bi ndogo sana kwa sababu kuna utitiri wa Aina hizo za biashara.

Hapa ndo huwa hata Juju au Uchawi unatumikaga sana.

Hivyo unaweza kupata Location nzuri sana ila bado Market share ikakushinda na ukaondoka.

Make Kama eneo lina Aina nyingi mno za hiyo products basi inahitajika Strategy kari sana ya kuingia nayo hapo sokoni.

Location huwa inatufelisha sana na Market share pia.

Na Mbaya zaidi kitu kama Market Share ndo kabisaaa huwa hatukiangalii tunapo tafuta sehemu ya kusimika biashara zetu.

Angali Mifano ya Maduka kama Min supet Market, Migahawa, Maduka ya nguo, Hardware, Stationary na Maduka ya rejareja ya baadhi ya bidhaa.

Haya huwa yanafungwa sana na kikubwa sana huwa ni Location mtu kaingia Chaka
 
Mkuu upo sahihi lkn theoretically.
Biashara ina Siri nyingi sana zaidi ya hyo market share uliyoiongelea.
Kwa mfano kwenye hiyo hiyo mifano yako ya biashara uliyoitoa ya supermarket na stationary.
Unaweza kuanzisha supermarket kwenye location uko peke yako,na watu waliokuzunguka Wana purchasing power nzuri na still watu wakaenda kununua mbali wakaipita supermarket yako na kumbuka you sell same products.
Kitu kingine nilishawah kuona watu wanamiliki stationary kwenye location hakuna shule na still mtu anafuatwa na wateja wa kutoka mbali,yaani imagine mtu ofisi yake ipo tegeta lkn wanakuja watu wa kutoka ubungo au Bagamoyo kuleta kazi zao za kuchapisha.
 
  • Thanks
Reactions: CGE
Ukiona mtu ana milik lets say Statiknary iko imejificha na anapiga kazi jua kabisa ana Network yake na hategemei wapita njia na hiyo ipo sana.

Kwa Super Market ni kweli pia hiyo huwa inatokea ni kutokana na some utamaduni.

Kwamba mtu bila kwenda Mlimani City hajijiskia hata kama Anacho enda kuchukua kippo hapo anako kaa.

So yeye kwenda pale anaona ni ufahari na na lazima akanunue pale hata kama ni sukari pekee ambayo pia mtaani kwake ipo na bei ni pungugu na Mlimani
Mkuu upo sahihi lkn theoretically.
Biashara ina Siri nyingi sana zaidi ya hyo market share uliyoiongelea.
Kwa mfano kwenye hiyo hiyo mifano yako ya biashara uliyoitoa ya supermarket na stationary.
Unaweza kuanzisha supermarket kwenye location uko peke yako,na watu waliokuzunguka Wana purchasing power nzuri na still watu wakaenda kununua mbali wakaipita supermarket yako na kumbuka you sell same products.
Kitu kingine nilishawah kuona watu wanamiliki stationary kwenye location hakuna shule na still mtu anafuatwa na wateja wa kutoka mbali,yaani imagine mtu ofisi yake ipo tegeta lkn wanakuja watu wa kutoka ubungo au Bagamoyo kuleta kazi zao za kuchapisha.
 
Niliwahi sema hapo nyuma kwamba Business location inatesa watu wengi balaa. yaani nazani boashara nyingi zinazo fungwa ssna location inachangia sana.

Location inahitaji hesabu kari sana tena mno sasa wengi wetu mtu akisha pata frem tu huyo kafungua yaani myu anacho angalia ni frame na sio location.

Unakuta mtu anaenda fungua Stationary sehemu ambayo hata shule hakuna na wala hakuna ubise wa maofisi hasa ya Umma sasa unashindwa kuelewa huyu alipiga hesabu gani?

Location ina factor zake za kuangalia.

Mfano; Purchasing power ya watu husika. Ok unafungua Min super market au duka la nguo kari mtaa fulani je huo mtaa life standard yao ikoje? Consumption culture yao ikoje?

Sasa tuje kwenye Share.

Kwamba Je huo uelekeo wako utakuwa na share kiasi gani? Unakuta mtaa line nzima imejaa Viduka vya nguo za watoto tena sasa wote aina moja.

Au hop location yako ni nzuri sawa ila Market share bi ndogo sana kwa sababu kuna utitiri wa Aina hizo za biashara.

Hapa ndo huwa hata Juju au Uchawi unatumikaga sana.

Hivyo unaweza kupata Location nzuri sana ila bado Market share ikakushinda na ukaondoka.

Make Kama eneo lina Aina nyingi mno za hiyo products basi inahitajika Strategy kari sana ya kuingia nayo hapo sokoni.

Location huwa inatufelisha sana na Market share pia.

Na Mbaya zaidi kitu kama Market Share ndo kabisaaa huwa hatukiangalii tunapo tafuta sehemu ya kusimika biashara zetu.

Angali Mifano ya Maduka kama Min supet Market, Migahawa, Maduka ya nguo, Hardware, Stationary na Maduka ya rejareja ya baadhi ya bidhaa.

Haya huwa yanafungwa sana na kikubwa sana huwa ni Location mtu kaingia Chaka

Watanzania tuna shida sana ya “r” na “l”...

Tujitahidi tuweke sawa hii lugha!
 
Biashara za kuigana
Mtu kaona fulani kafungua na yeye anafungua
 
Back
Top Bottom