Tuzungumzie fainali ya Europa Marseille vs Atletico.

Tuzungumzie fainali ya Europa Marseille vs Atletico.

sijui ni moshi ule. Naona hawa wafaransa wanataka kuleta figisu maana upo kwenye goli lao tu.
 
I wish Marseille wabebe
Nafrahia sana
 
Simeone bado adhabu yake kumbe inaendelea!!
 
kipindi cha pili ATM wamekuja kwa kasi.
 
Mechi hii ya upande umoja na hao Marselle wamelegea baada ya kutoka Payet,sio wa niliowana kwa RB na salzburg
 
ATM ndiyo mabingwa wapya wa kombe la EUROPA 2017/2018. wameawafunga Marseille 3-0
 
Back
Top Bottom