Tuzungumzie hili bifu lililowahi kutokea kati ya Langa na Jay Moe

Najua Mambo Mengi Naweza Kumfundisha Dingi Mc # 1

Mfano Wa Mitaani Wapinzan Nawapiga Vichwa Kama Zidane
Wewe sasa kama sio Daud sijui..kuna mwana nlisoma nae secondary,nlikua producer wake..kila tukiamka lazima snipe mstari wa langa...hakuna mstari wa langa ambao sijawahi kusikia..ngoma take Rafiki Wa Kweli is my Favorite from him
 
Hahahah hahahah alikua anameza
 
"Zam zam!!yako imepta sasa yangu ime-come,nna mpango wa kuuza albam kama ice-cream za azam,wakigusa tu wananasa sababu mzigo mtam"
Hii ngoma ya Langa,tamu sanaaaa
R.I.P
 
Harakati za okoa hip hpo,hip hop bila madawa kikosi cha mizinga,mo ndani ya jipange,
Langa alipaniki tu kuambiwa ukweli,ila alijisahihisha kwenye kifo,jela au taasis.
Well well well, [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji122]
 
"Zam zam!!yako imepta sasa yangu ime-come,nna mpango wa kuuza albam kama ice-cream za azam,wakigusa tu wananasa sababu mzigo mtam"
Hii ngoma ya Langa,tamu sanaaaa
R.I.P
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji122]
 
Mahaba tu kwa langa kileo..but langa nae kati ya watu wanaotafsiri mistari ya mbele kuifanya take,yupo vizuri..haha but hamzidi fid q tha big copy cat
Si kweli mkuu,usomaji wa vitabu humsaidia pia fid q, ata marehemu 2pac aliikuwa msomaji mzuuri wa vitabu akatupatia tungo safi
 
Mahaba tu kwa langa kileo..but langa nae kati ya watu wanaotafsiri mistari ya mbele kuifanya take,yupo vizuri..haha but hamzidi fid q tha big copy cat
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee... I listen to Nikki Mbishi, Stereo na Young Killer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…