Tuzungumzie hili bifu lililowahi kutokea kati ya Langa na Jay Moe

Maisha ya Wala unga ni maisha mabaya sana na yaliyojaa fedheha Na kudharaulika. Pia ni maisha mafupi sana
Mafupi kama ukiwa ujajiwekeza, I mean kama unakula poda makapi , kila kama unakula kitu fresh tena gred one, Aahh mbona utadunda sana .
 
Tatizo kinachotucost wabongo ni kutorespect OG na kuongelea vibaya marehem......WAKAZI wakati anasoma loyola na LANGA tayari ni household name sijui hawa kina UNO respect to new CATS ila they been raised by this OLD CATS
 
Mafupi kama ukiwa ujajiwekeza, I mean kama unakula poda makapi , kila kama unakula kitu fresh tena gred one, Aahh mbona utadunda sana .
Boss maisha ya podas hayanaga grade Iwe manji au chiddy at the end of the day it always end up bad
 
Ulizia pesa nikuandikie Cheque, ulizia pamba nikufungulie bangi..
 
Hapo aliposema kama Bu na Da hustler nadhani anawaongela member wa Nako 2 Nako, Ibra da Hustler na Bu Nako,sijajua hasa walikimbiana wapi ila nadhani ni baada ya Kundi la Kikosi cha mizinga kuwavamia na kuwapiga N2N baada ya kupata habari kwamba walikua white sands wanashangilia ushindi wao dhidi ya Kikosi cha mizinga,mpambano uliondeshwa na radio one stereo,wa Nani zaidi uliokua unaendeshwa siku ya Jumapili mchana....Actually machalii wa Arusha walikodi coaster na kuja hadi block 41,na kufanya vurugu ila hawakuwakuta kina kala Pina
 
Mahaba tu kwa langa kileo..but langa nae kati ya watu wanaotafsiri mistari ya mbele kuifanya take,yupo vizuri..haha but hamzidi fid q tha big copy cat
Nimeogopa kusema hiki nikijua Marehemu anapendwa sana. Hapo kwa Q umegonga penye!
 
I like the old school stories about bongo hiphop, enzi za akina Abou, Dogo Hashim na malegend wengne
 
Nina Bonge la mkuki,Kina cha mchizi Mox....what a Shot...?
Ntakuharibu,msala wangu field force
Nina bonge la mkuki kimo cha mchizi mox
Amani kwa kaka voda milionea
Mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea
You know how we treat a snitch...........
...................
 
Hivi wadau mmeshawahi kuusikiliza vizuri wimbo wa "nitarudi na roho yangu" wa Afande Sele?kama bado utafuteni,unaweza kutoa chozi au kukutia simanzi ya hali ya juu.
 
Kufa na kupona,ama kupata kilema
Yote yanawezekana kama akipanga maulana
Haijalishi unafanya kazi gani,
Yeyote yuko duniani mguu nje mguu ndani
Yaani tuko safarini
Kuishi kanisani sio jambo la kujiamini
Hata ukiishi msikitini si salama salimini
Ni mashaka na hofu
Tumeumbwa na macho lakini bado vipofu
Sielewi mwisho wangu,
Sielewi mwisho wako,yote kazi yake Mungu
Leo unasema u mzima,
Kesho utalala kimya
Leo umesimama wima
Kesho utashindwa kuhema
Binadamu kama mnyama
Mungu wa manyani,ndo Mungu wetu sisi
Mungu wangu Selemani na ndio Mungu wa mafisi
Kwavile wote ni viumbe,
Tofauti yetu na ng'ombe labda ni kwato na pembe
Zaidi ya hapo tuko sawa,
Wote tunavuta hewa
Kama kuoa na kuolewa wanaoana hata njiwa
Mwenyezi ndo anaejua
Mbele yangu nyuma yako kuonana ni majaliwa!
 
Sijui mziki bila ngada hauendi au ni nn sasa?
Mbona kuna watu kama prof j hawatumii izo vitu na walikua wazima tuu?
Vitu vingine ni kujitakia...
 
umenikumbusha mbali sana mkuu
 
nina bonge la mkuki kipimo cha mchz mox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…