Tule na tunywe nini na tusile na tusinywe nini?
Vipi matumizi yaliyokithiri ya madawa, hayachangii matatizo ya figo? Kuna wale watumiaji wa madawa kama ya pressure (assomex, nk), wapo watumiaji wa ARV, hawa huwa lazima kila siku wameze kidonge kimoja.
Wapo kwenye hatari kiasi gani kupata/kuepuka matatizo ya kufeli figo? Pia ukiwa na matatizo ya ini ni rahisi sana kupata matatizo ya figo. INI, MOYO na FIGO ni viungo vinavyofanya kazi kwa "kupendana", kimoja kikishindwa basi vingine vinapata shida sana ku-cope, hence matatizo yanaongezeka.
Asante kwa ushauri nina mtoto WA mwaka na nusu Kuna siku alikuwa Ana push aja ikawainagoma alilia Sana nikasononeka sikuwai na jinsi ya kumsahidia.. Nafkiri alipewa vyakula vigumu na maji akuwa nayo ya kuyosha75% ya choo kikubwa ni maji. Kuepuka kujikamua na choo kigumu kunywa maji.
Mkuu hiyo nyama nyejundu mi ndo siijui kabisa nipe mwongozo plsMwili unajiregulate wenyewe lakini ukishafika 50+ inabidi uwe muangalifu. Wengi katika umri huu hasa kama uliutendea rough ujana
baadhi ya vitu vinahitaji MOT
.
Mupunguza chumvi
Nyama nyejundu
Pombe
Kuongeza mboga matunda na maji.
Medical checkups once a year.
*Nyama nyekundu
Veggies na fruits, kadhalika kunywa maji ya kutosha kila siku na punguza au acha kabisa processed foods na kemikali zingine. Pia fanya mazoezi, nimewahi kuweka uzi kuhusu mazoezi unaweza kuupitia hapa chini na ukiweza soma comments:
Fitness and wellness - JamiiForums
Asante Tata mura*Nyama nyekundu
1) Ng'ombe
2)Mbuzi
3)Kondoo
*Nyama nyeupe
1) Kuku
2) Bata
3)Samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mane, mbona unafumbia mdomo comment yangu?[emoji40][emoji40][emoji40]
Kwa ARV kila mgonjwa akienda clinic anafanyiwa check up ikiwemo kidney function. Kama kuna madhara anabadilishiwa dawa Hii ni kwa magonjwa yote ya long term.Vipi matumizi yaliyokithiri ya madawa, hayachangii matatizo ya figo? Kuna wale watumiaji wa madawa kama ya pressure (assomex, nk), wapo watumiaji wa ARV, hawa huwa lazima kila siku wameze kidonge kimoja.
Wapo kwenye hatari kiasi gani kupata/kuepuka matatizo ya kufeli figo? Pia ukiwa na matatizo ya ini ni rahisi sana kupata matatizo ya figo. INI, MOYO na FIGO ni viungo vinavyofanya kazi kwa "kupendana", kimoja kikishindwa basi vingine vinapata shida sana ku-cope, hence matatizo yanaongezeka.
asante kwa maarifa na taarifa mkubwa. Vitamin D na Calcium nazo shida, Khaa!!! hii nayo nimesikia leo.Dagaa wana kiasi kikubwa cha Calcium na Vitamin D ambavyo vimekuwa visababishi vya kidney stones endapo ulaji wake utazidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
labda ndio maana kasema dagaa za shuleni.Mi nahisi kamaanisha zile dagaa ambazo huwa na mchanga pamoja na mawe mara nyingi ili mtu uzipike inabidi utoe vichwa na uoshe na maji moto
Let me start doing this,huwa nakunywa maji mengi sana ninapoamka asubuhi,ila hii glass ya usiku huwa ninaikwepa kwa kuogopa kuamka usiku..Watu wengi huepuka usumbufu wa kuamka usiku lakini saa bora kabisa ya kunywa maji ni kupata glass kabla hujaingia kitandani. Wakati mwili ume pumzika maji haya yata kusaidia kuweka sawa mapigo ya moyo na usafirishaji wa damu.
Utaamka ukojoe na wanaofanya hivi hupata choo kikubwa mara tu wanapoamka asubuhi.
View attachment 1037338
Lakini tukubali tu kuwa ina a long run lazima zile dawa zitakuwa na madhara kwa mtumiaji tu. Mbona sasa watu wengi wanaotumia ARVs wanapata shida ya kidney failure? Na Kwa nini hypertension inasababisha kidney failure?Kwa ARV kila mgonjwa akienda clinic anafanyiwa check up ikiwemo kidney function. Kama kuna madhara anabadilishiwa dawa Hii ni kwa magonjwa yote ya long term.
Kawaida yangu kunywa maji mengi usikuWatu wengi huepuka usumbufu wa kuamka usiku lakini saa bora kabisa ya kunywa maji ni kupata glass kabla hujaingia kitandani. Wakati mwili ume pumzika maji haya yata kusaidia kuweka sawa mapigo ya moyo na usafirishaji wa damu.
Utaamka ukojoe na wanaofanya hivi hupata choo kikubwa mara tu wanapoamka asubuhi.
View attachment 1037338
Mara nyingi ukianza kupata matatizo option ni dawa bora ambazo ni ghali hii hutegemea status na sehemu ulipo. Kama uko nchi za Scandinavia huko serikali inagharamia hata zikigharimu US$3,000 kwa mwezi.Lakini tukubali tu kuwa ina a long run lazima zile dawa zitakuwa na madhara kwa mtumiaji tu. Mbona sasa watu wengi wanaotumia ARVs wanapata shida ya kidney failure? Na Kwa nini hypertension inasababisha kidney failure?