Tuzungumzie matatizo ya figo

Mara nyingi ukianza kupata matatizo option ni dawa bora ambazo ni ghali hii hutegemea status na sehemu ulipo. Kama uko nchi za Scandinavia huko serikali inagharamia hata zikigharimu US$3,000 kwa mwezi.
Tuongelee sasa nchi kama TZ ambayo wananchi wake kwa asilimia kubwa uwezo ni mdogo, wanategemea dawa za misaada tu, how do they survive this?

Nimekuuliza hapo kwa nini hypertension inasababisha kidney failure, mkuu wewe upo straight kwenye afya, type darsa, wengine tulipitia nusu tu[emoji39]
 
Hapo kwenye Samli nimejikuta naogopa maana vyakula vyangu vingi naweka Samli.
 
Reactions: BAK
Michanga na vijimawe vya kwenye dagaa vinaleta appendix.

Ulaji wa dagaa kwa wingi unahusishwa na ishu za figo kwasababu ya excess calsium.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moyo na figo hufanya kazi pamoja, hypetention ina over work kidneys.
 
Ukipata yote hayo na wew ni maskini, kilichobaki ni kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nahisi kamaanisha zile dagaa ambazo huwa na mchanga pamoja na mawe mara nyingi ili mtu uzipike inabidi utoe vichwa na uoshe na maji moto
Mchanga kama mchanga hausababishi kidney stones...Kidney stones inasababishwa na deposition ya madini mf. Calcium pamoja na madini chumvi baada ya kushindwa kuyeyushwa hivyo kupelekea kutengeneza kitu yabisi (Stone like structure)..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tudadavulie kilichosababisha figo za Ruge kufeli na kwa nini zimuue licha ya kutibiwa hosptal kubwakubwa ndani na nje ya nchi.. ina maana huu ugonjwa hautibiki? Au kuna mengine nyuma ya paziaaa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ufafanuzi mana mimi sina utaalam wa hii mambo
 
Ukiweza achana nayo. Mimi niliacha kutumia kitambo sasa ila siagi na maziwa kama KAWA na maji nakunywa kwa wingi tu. Nilisoma mahali pia kwamba ukwaju pia unasaidia sana kusafisha kidney.

Hapo kwenye Samli nimejikuta naogopa maana vyakula vyangu vingi naweka Samli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ