Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Mie kwenye maji inAnibidi nihitaj maombi..dah!
Hapa imebidi nitafute 1.5lita nijikakamue mpaja jioni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie kwenye maji inAnibidi nihitaj maombi..dah!
Radiologist mzuri Yupo temeke anaitwa Dr mmeneyShukrani ni Hosptari gani ulienda ukapata kutibiwa vizuri au daktari yupi
Tuongelee sasa nchi kama TZ ambayo wananchi wake kwa asilimia kubwa uwezo ni mdogo, wanategemea dawa za misaada tu, how do they survive this?Mara nyingi ukianza kupata matatizo option ni dawa bora ambazo ni ghali hii hutegemea status na sehemu ulipo. Kama uko nchi za Scandinavia huko serikali inagharamia hata zikigharimu US$3,000 kwa mwezi.
Hapo kwenye Samli nimejikuta naogopa maana vyakula vyangu vingi naweka Samli.Dagaa zina michanga na vijimawe vidogo vidogo solution ni kuzisafisha vizuri kabla ya kupika ili kuhakikisha hazina mchanga au vijimawe.
Pia vyakula kama siagi, samli na maziwa vinadaiwa kuongeza uwezekano wa kuwa na kidney stones.
Kunywa maji mengi ni muhimu sana ili kuepusha hili tatizo la kidney stones.
Michanga na vijimawe vya kwenye dagaa vinaleta appendix.Dagaa zina michanga na vijimawe vidogo vidogo solution ni kuzisafisha vizuri kabla ya kupika ili kuhakikisha hazina mchanga au vijimawe.
Pia vyakula kama siagi, samli na maziwa vinadaiwa kuongeza uwezekano wa kuwa na kidney stones.
Kunywa maji mengi ni muhimu sana ili kuepusha hili tatizo la kidney stones.
Moyo na figo hufanya kazi pamoja, hypetention ina over work kidneys.Tuongelee sasa nchi kama TZ ambayo wananchi wake kwa asilimia kubwa uwezo ni mdogo, wanategemea dawa za misaada tu, how do they survive this?
Nimekuuliza hapo kwa nini hypertension inasababisha kidney failure, mkuu wewe upo straight kwenye afya, type darsa, wengine tulipitia nusu tu[emoji39]
Kwamba haupendi ManengeloMie kwenye maji inAnibidi nihitaj maombi..dah!
yeah..nashindwa kunywa maji mengi ..maweza shindia chupa 1 ya nusu liya au nisinywe kbs😥Kwamba haupendi Manengelo
Ukipata yote hayo na wew ni maskini, kilichobaki ni kufa.Vipi matumizi yaliyokithiri ya madawa, hayachangii matatizo ya figo? Kuna wale watumiaji wa madawa kama ya pressure (assomex, nk), wapo watumiaji wa ARV, hawa huwa lazima kila siku wameze kidonge kimoja.
Wapo kwenye hatari kiasi gani kupata/kuepuka matatizo ya kufeli figo? Pia ukiwa na matatizo ya ini ni rahisi sana kupata matatizo ya figo. INI, MOYO na FIGO ni viungo vinavyofanya kazi kwa "kupendana", kimoja kikishindwa basi vingine vinapata shida sana ku-cope, hence matatizo yanaongezeka.
Mchanga kama mchanga hausababishi kidney stones...Kidney stones inasababishwa na deposition ya madini mf. Calcium pamoja na madini chumvi baada ya kushindwa kuyeyushwa hivyo kupelekea kutengeneza kitu yabisi (Stone like structure)..Mi nahisi kamaanisha zile dagaa ambazo huwa na mchanga pamoja na mawe mara nyingi ili mtu uzipike inabidi utoe vichwa na uoshe na maji moto
na mm leo nakunywa hiyo hyo nimLize walau ...khaa
achana na kuchangiwa hahaa dunia ilivyo tamu hvi unaanzaje kuanza kuumwa[emoji39][emoji39][emoji39]..nipo glass ya 3nw..joto..khaa
Asante kwa ufafanuzi mana mimi sina utaalam wa hii mamboMchanga kama mchanga hausababishi kidney stones...Kidney stones inasababishwa na deposition ya madini mf. Calcium pamoja na madini chumvi baada ya kushindwa kuyeyushwa hivyo kupelekea kutengeneza kitu yabisi (Stone like structure)..
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂unahis🍻?
Hapo kwenye Samli nimejikuta naogopa maana vyakula vyangu vingi naweka Samli.
Kuanza huwa ngumu ila ukizoea hata utashangaa kumbe lita ya maji ni kitu kidogo sana.Mimi hata lita nne huwa nafikisha,nakunywa maji kama burudani yani.