witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Tumia Olive oilAsante mkuu BAK, Niliacha kutumia mafuta ya Alizeti kuogopa presha nikajiunga kutumia Samli hii nayo ina madhara [emoji2296][emoji2296]Nataka kujalibu mafuta ya Zaituni
Sent using Jamii Forums mobile app